Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oh wooow sahizi ndio you are still planning on building? Take a look on how a proper industrial park should be built.


View: https://www.youtube.com/watch?v=DW0bSemF5So

Tatizo lenu nyie huwa mnafanya mambo kwa kugusa gusa, mara umegusa hiki umeacha unagusa kile unaacha ilimradi tu uonekane na wewe unafanya, sasa huu upuuzi utafananisha na sino tan? More than $3b investment ndio ufananishe na hiyo investment ya $500,000? Tena I bet kama imefika hata hiyo $500,000.

Tofauti yenu na sisi ni kwamba Tz ikiamua kufanya inafanya kweli na sio kugusa gusa ili uonekane unacho, acheni mzaha bhn tupo 2023.
 
Umeona sasa kwann mzungu sio mjinga kuliko wewe 🤣🤣🤣🤣 hii ndio tofaut ya slum na unplanned settlement

Yani slum maana yake hata vyoo hakuna maji hakuna barabara hakuna na umeme hakuna dirisha la mwenzio ww ndio unakunya hapo ndio maana slums

Ndio maana hua munakunya mwenye paperbag alaf munatupa ovyo punda nyinyi

Hzi ni picha mbili na zote nime zoom kukuonesha kua ww huwez kua ana akili zakdi ya alieweka sattelite juu 👇👇

Dar
View attachment 2763728



Nairobi
View attachment 2763729
Kunyan ni wa kuonewa huruma aisee 😀
 
Hii sio roro bearth hzo ni bearth za kawaida munatumia kushuhsa magari

Roro bearth ni bearth maalumu kwa ajili ya magari tu na sio kwa kazi nyingine tofaut na magari weka akilini hio 🤣🤣🤣🤣🤣

Screenshots_2023-09-27-12-54-31.png
 
FYI, uswazi bongo ni culture sio symbol ya umaskini, ndio maana pale kkoo au Ilala uswazini 600sqm land is worth billions of shillings lakini anaishi bibi mmoja na wajukuu zake na wapangaji kadhaa na hataki kuuza, they are contented. Sasa turudi Kibera, Korokocho, mathale au na wapi huko (ziko nyingi sana hadi zinachosha kukariri…..😅😅) hali ikoje? Nipe land value ya maeneo hayo.
Bro land anywhere in Nairobi is more valuable than Dar CBD
 
Hii sio roro bearth hzo ni bearth za kawaida munatumia kushuhsa magari

Roro bearth ni bearth maalumu kwa ajili ya magari tu na sio kwa kazi nyingine tofaut na magari weka akilini hio 🤣🤣🤣🤣🤣

View attachment 2763924
Wacha ujinga, most cars Kenya zinaingia inside containers,
Only 7 yrs old cars ndio zinatandikwa kwa jua huko nje.
 
Bro land anywhere in Nairobi is more valuable than Dar CBD
Lazma land kwenu iwe expensive kwasababu inamilikiwa na wachache wakiwemo foreign investors pamoja na politicians 🤣🤣🤣

Hata zile estate zenu ukifatilia vzr utakuta zinamilikiwa na politicians wenu kataa au kubali

Nakupa mfano mwingine buxton estates walivunjiwa nyumba na joho kwa nguvu na sasa zinamilikiwa na joho pamoja na washirika wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ikiwa kenyatta pekee anamilikia ardhi ya kubeba wakenya million 20 unategemea nn?? Vp kuhusu wanasiasa wengine wanamiliki ardhi kias gani??

Mkenya yoyote hana ndoto ya kumiliki ardhi mjini ndoto yenu kubwa ni kupanga bedsitter na kujidanganya ni middle income
 
Wacha ujinga, most cars Kenya zinaingia inside containers,
Only 7 yrs old cars ndio zinatandikwa kwa jua huko nje.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom