Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Really, we've sunk to such a low as to laugh at each other for the country whose citizens surfer from racism and persecution in the middle east?

To their racist minds and eyes, we're all the same. These stupid leaders we re-elect periodically loot funds and disenfranchise us enough to ensure my and your sisters will keep on being 21st century slaves to those Arabs. Wake up and open your eyes bana!
I thought they were doing well in terms of employment....hahaha .Kumbe wamekimbilia kuwa maid middle east na wengine pia wamekujia odd jobs hata huku Kenya
 
mall za kisumu are bigger with more parking space...
cdee3cce408e1939bb5fd680566d4819.jpg
 
Mwenye ametengeneza hii map ni mjinga. Amegawanya county za Kisomali(Wariah) ziwe pande zote mbili and that cant happen. Garissa iwe nchi tofauiti na Wajir, Isiolo na Mandera
sio mimi ni mkenya mwenzio😀😀😀😀😀😀😀
 
even USA citizens complain about their country on issues like healthcare,food stamps,racial discrimination,crime,homicide etc etc........Pretending that you've got no issues is hypocritical
naona povu kila kukicha😀😀😀😀😀😀
 
even USA citizens complain about their country on issues like healthcare,food stamps,racial discrimination,crime,homicide etc etc........Pretending that you've got no issues is hypocritical
Hivi kwanini wakenya kila kitu lazima muitaje USA, au ndiyo maana wanaume wa Kenya wanaolewa na wanaume huko USA?, Huwezi kujenga hoja ya kuthibitisha uimara wa Kenya bila kutaja USA?, bure kabisa...ndiyo sababu hata kiswahili hamtaki kujifunza kwasababu USA haizungumzi kiswahili, leo hii USA wakitangaza kiswahili kuwa ndiyo lugha yao ya taifa, wakenya wote watajifunza kiswahili kwa haraka, na watajifanya hawakijui kiingereza vizuri...Mawazo ya kitumwa ni kitu kibaya kuliko slums za kibera..
 
Nyinyi waTz hamcomplain? It's either mnaishi paradise ama ukicomplain unafungwa jela.
I think it's only Germany and a handful of European countries that are stable, and not 100% stability. You are a third world my friend, that's a major issue don't think we are so dumb.
Tanzanians are so happy even in extreme poverty.....wengine wanaishi nyumba za matope lakini bado wamejawa na furaha....
Wakenya hawawezi nyamaza wakiumia that's why kuna so much quarrel amongst our tribes which I see it in a positive aspect.
 
lakini cha kushangaza umasikini wanaishi wakenya umekithiri sana tena wanaishi maisha ambayo hata nguruwe hawez kuishi😀😀😀😀😀😀😀
 
Tanzanians are so happy even in extreme poverty.....wengine wanaishi nyumba za matope lakini bado wamejawa na furaha....
Wakenya hawawezi nyamaza wakiumia that's why kuna so much quarrel amongst our tribes which I see it in a positive aspect.
Hongera sana, kumbe kiswahili unakijua inakuwaje kuendekeza kiingereza bila sababu za msingi?, kumbe unaweza kujenga hoja bila kuitaja USA?... Acheni mawazo ya kitumwa ninyi, ukiuliza swali kuhusu Kenya, jenga hoja kwa kutumia malighafi ya Kenya, ukitaka kutoa mfano au kulinganisha, basi tumia mifani ya nchi zinazofanana kimazingira, utamaduni na geographia ya Kenya.
Hawa wamarekani ambao ndiyo mabanwa zenu wamefikia hatua ya kuwageuza kaka zenu kuwa wake zao, kwanini hawawapi chakula kipindi hiki cha njaa badala yake mnapewa msaada wa chakula toka China?, au mpo tayari kuolewa na wachina pia?.. Acheni mawazo ya kitumwa..
 
Back
Top Bottom