ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sasa unakataa au unabisha😀😀😀😀😀😀😀Wealth is measured by GDP per capita....where did you school folk?
sasa unakataa au unabisha😀😀😀😀😀😀😀Wealth is measured by GDP per capita....where did you school folk?
ndugu kwenye swala linaitwa maendeleo kwa sasa hvi tanzania sio size yenu nchi inajengwa usiku na mchana jamaa anajenga 11 airports kwa sasa tena kwa mpigo 😀😀😀😀But what you have now is this![]()
endelea kujipa moyo hvo hvo 😀😀😀😀😀😀😀Kenya has twice paved highways to Tanzania yet its half the size of Tanzania
asante kwa hasira siku zote numbers don't lie😀😀😀😀😀Urban 65% you got to be kidding...urban Kenya 100%
mm narudia kukwambia 2011 figure and 2016 figure haziwez kua sawa hata siku moja 😀😀😀😀 ni swali dogo unafaa kujiuliza tanzania ijenge electric train na kenya imeshindwa alafu uniambie umeme hakuna...be seriousna clearly imekwambia 32.8%. Are you not intelligent Ichiboy or you just playing dumb?
kwanza nikupe data sahihi tanzania inaongoza kua na urban population in east africa kwanza tuanza hapoand where do most of your population live? Kwa urban ama rural?
hakuelewa somo huyo ndio maana nilimwambia 2020 tanzania itakua imesambaza umeme vijijini kwa asilimia 90% akaona natania😀😀😀😀😀😀😀😀😀Watu wengi wanaishi vijijini lakini REA, mpango wa kusambaza umeme (stima) vijijini teyari upo katika awamu wa tatu (ya mwisho), ambapo usambazaji umefikia zaidi ya vijiji 4,395 kati ya 12,268 vilivyopo Tanzania, ikiwa ni asilimia 36%. Hii ni kutokana na taarifa za feb 2017.
Render za nini jamani hebu tupieni vitu vilivyosimikwa ardhini ;
SubhanallahNALIAMSHA DUDE:
types of photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ukiskia uchumi unapikwa kwenye karatasi basi wakenya ni hodari wa kupika data wakidhania wandanganya dunia kumbe wanajidanganya wenyewe😀😀😀😀😀😀Subhanallah
Ktk maisha yangu yote nimetembea nchi tofauti ktk Africa sijaona mazingira mabaya na yaliyotopea ktk umasikini kama kibera ,
Ni aibu na siamini mazingira kama haya yapo ndani ya Nchi inayodai ndiyo inayoongoza kiuchumi ktk east Africa,
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Maana hata ukienda Burundi au somalia hakuna ufukara uliopitiliza kiasi hicho,
Inanisikitisha na kuniumiza sana.
Again Ignorant idiot revealed here,
Ukiwa hapo JKIA kuna direct flights to Zanzibar as well as Kilimanjaro,
Again from Kilimanjaro kuna direct flights abroad,
Pia from Zanzibar there are international flights to Dubai, Doha, SA, etc
What about those useless airstrips u claim international?? Any international flights there???
Fyi, Even your domestic flights are far behind Tanzania's.
Hapa ndugu zangu waTanzania inabidi tujifunze. Airports zetu za mikoani kama Mwanza,Arusha at least zifikie viwango hivi...
Hii hatariipoleni sana siasa na ukabila
View attachment 630725