IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Duude you like exposing your ignorance too much. That's a comparison that this happens here too are you so afraid of comparing yourself to the U.S? Easy, it's humans that live there too, not gods.Hivi kwanini wakenya kila kitu lazima muitaje USA, au ndiyo maana wanaume wa Kenya wanaolewa na wanaume huko USA?, Huwezi kujenga hoja ya kuthibitisha uimara wa Kenya bila kutaja USA?, bure kabisa...ndiyo sababu hata kiswahili hamtaki kujifunza kwasababu USA haizungumzi kiswahili, leo hii USA wakitangaza kiswahili kuwa ndiyo lugha yao ya taifa, wakenya wote watajifunza kiswahili kwa haraka, na watajifanya hawakijui kiingereza vizuri...Mawazo ya kitumwa ni kitu kibaya kuliko slums za kibera..