Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Heri wao wana hio ya Solar, wewe sasa hivi uko gizani unangoja kuona ratiba TANESCO wanarudisha stima saa ngapi 😆😆😆Solar power
Usichojua ni kwamba Tanzania kwa sasa kuna replacement kubwa ya transmission lines kuondoa dilapidated lines kuweka mpya na zenye capacity kubwa zaidi almost country-wide
Solar barabarani tu, nyumbani ni vibatari mwanzo mwishoHeri wao wana hio ya Solar, wewe sasa hivi uko gizani unangoja kuona ratiba TANESCO wanarudisha stima saa ngapi 😆😆😆
Upo sahihi kabisa, wanatumia renewables, only solar and wind 👇👇👇👇Solar power
Kwaiyo hayo kwaiyo kwenye hayo mabati Kuna wakenya wanaishi?Those are health workers attending to people from their homes you fool
Still not sufficient for millions of northerners wallowing in the everlasting deep dim
Na mzungu kakuta wote wapo gizaniLodwar ipo Turkana. Largest wind power farm in Africa is in Turkana County, nilidhani mnajua hiyo tayari?
View attachment 2762510
Lake Turkana Wind Power Plant. 310MW of renewable, clean energyStill not sufficient for millions of northerners wallowing in the everlasting deep dim
Hakuna transmission lines sasa! Watapelekewa kwenye vibaba?Lake Turkana Wind Power Plant. 310MW of renewable, clean energy
👇👇👇👇
![]()
Lake Turkana Wind Power Project: The largest wind farm project in Africa
The Lake Turkana wind power project involves the development and construction of a 300 MW wind farm. The project is located at a remote location, approximately 12 kilometres east of Lake Turkana in northwestern Kenya. The project area falls within a valley between two mountains that produce a...www.afdb.org
Katafute vidio uone watu wanavyoishi kama mashetani bila umeme mji mzima, Tanzania hukuti usenge kama huoKwa hiyio picha unaona kama kuna watu wanaishi hapo wanataka stima?
👇👇👇👇
Off grid natural gas power kwa almost viwanda vyetu vyote vikubwa umejumlisha hapo?
👇👇👇👇👇Off grid natural gas power kwa almost viwanda vyetu vyote vikubwa umejumlisha hapo?
Haya leta credible source basi niwache kutumia hizo 😆😆😆😆😆Off grid natural gas power kwa almost viwanda vyetu vyote vikubwa umejumlisha hapo?
Uongo fake data ukweli ni hamna umeme majority na mpo 65 million👇👇👇👇
Mko wengi kutushinda na tuko na more than double your installed power capacity. Kazi yenu ni kuzaana tu
View attachment 2762518
2020 viwanda 50 vilikua vinatumia natural gas na ni viwanda vikubwa ambavyo kimoja kinaweza kutumia hata megawatts 30Haya leta credible source basi niwache kutumia hizo 😆😆😆😆😆