The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,066
- 1,182
👇👇👇👇 "Miaka 10 iliyopita"
View: https://x.com/JamiiForums/status/1650823922625961986?s=20
View: https://x.com/JamiiForums/status/1650823922625961986?s=20
Hakuna chochote in East and Central Africa cha kuweka sentence moja na Egypt, SA wala Morocco as far as real estate development is concerned. Hawa watu level walizonazo kwasasa wanaelekea ku battle na first world countries. Heb cheki hii Egypt.new Cairo kwanza 👇View attachment 2761991the first super tall building in Africa 👇with 80 floorsView attachment 2761993.. the kinda real estate investments .. mountain view 👇wala sio paris ni hapahapa AfricaView attachment 2761995.. another one 👇View attachment 2761996check out this massive investment in real estate 👇 EgyptView attachment 2761997.. ATI kenyans wanadai haka kaeneo ndio largest estate in Africa 👇View attachment 2762008. 🤣🤣🤣 Hii ni vichekesho sana.. sijajua ni ignorance ama ni nini. Nicxie nani alikwambia nyayo ni largest estate in Africa.? 🤣🤣🤣 Wacheni kutumia hizo adjectives vibaya manzee. Africa ni kubwa mno na Ina mataifa yaliyoendelea kweli kwa ground . Hiyo paper economy au jidipii isiwachanganye.. ona vile hiyo Egypt ulitaka itajwe inavyofaanan. 👇
View: https://youtu.be/6mw0VDr8Fmk?si=1eA2QLhqAZBRhNDs.
Wewe ni kiboko yao.👇👇👇
View attachment 2762126
Says someone posting from Vingunguti. Pigana na Kipindupindu kwanza kabla ukuje kupigana na mimi😂😂😂😂😂View attachment 2762134View attachment 2762136View attachment 2762141View attachment 2762142View attachment 2762143
Kunyan tusitake kurudisha huku mtakimbia hapa nyang'au
Mtu anaishi Vingunguti hawezi niambia kitu mimiView attachment 2762134View attachment 2762136View attachment 2762141View attachment 2762142View attachment 2762143
Kunyan tusitake kurudisha huku mtakimbia hapa nyang'au
Au sio.? Me ni traveler mzee wangu👇jana usikuhiyo, guess my location right nowWhat about Manzese, Kigogo, Tandale, Vingunguti, Mbagala? Sa hizi najua unapost ukiwa Vingunguti 😆😆😆😆
City under the sun 😅😅😅😅
View: https://twitter.com/epcogal/status/1602531782666100736?t=cxeuCpI7cDNYXRZeeI6ZvA&s=19