Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu imekaa hovyo hovyo, sisi tushatoka huko, now tunajenga estate za kisasa.
Ziko wapi mbona hatuzioni? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Google Earth mwenyewe msema kweli sijaona hata moja Dar. Kule Dodoma nimeona kijiji kimoja tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
I believe in CAF and FIFA rankings maana hao ndio wenye dhamana ya football hao wengine ni vijitaasisi vya mchongo πŸ˜…
Kuona ni kuamini bro, Yanga ipo juu ya simba kwa sasa, tena juu kwa vyotee kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ziko wapi mbona hatuzioni? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Google Earth mwenyewe msema kweli sijaona hata moja Dar. Kule Dodoma nimeona kijiji kimoja tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Pole kwa maumivu, najua estate ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mmebaki nayo ambapo nako huko tumo na tunaenda kuwachakaza vby. Tofauti ya vi estate vyenu na zetu ni kubwa sana, nyie kama kawaida yenu mnagusa gusa sehemu alafu mnaacha, hamuingii in deep, yani ubabaishaji tu kama kawaida yenu, sisi tukifanya tunafanya kweli.

Vi estate vyenu ni cheap, no wonder Dar imeiacha mbali Nairobi kwa thamani ya estate, wakati bado mnazubaa zubaa na Dar, sisi tushaanza kujenga estate mpya za kisasa Dodoma, nyie mmebaki na vi estate ushuzi Nairobi pekee. Watanzania tuna akili kuliko nyinyi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Lia kabisa. Nairobi imewaacha na miaka kumi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


View: https://www.instagram.com/reel/Cw7x3kbo8JH/?igshid=NjIwNzIyMDk2Mg==
 
Modern Estates zinakaa hivi, sio hizo nyumba za kuku mnajenga


View: https://youtu.be/clZ164dVQvQ
 
Hizo zenyu zile mnajenga zipo wapi si mtuonyeshe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


Your browser is not able to display this video.
 
Ziko wapi mbona hatuzioni? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Google Earth mwenyewe msema kweli sijaona hata moja Dar. Kule Dodoma nimeona kijiji kimoja tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Bro Dodoma ni yamotoo sio ya mchezo mchezo, kule panajengwa majengo ya kisasa tu, hakuna maneno mengi.

Huku ni Njedengwa na sio Iyumbu kwenye zile estate zinazowaumiza, nyie hamjengi mpya bali mbaonesha zile zile zilizojengwa na wakoloni, sisi tunawaonesha tunazojenga wenyewe, wakenya hamkupaswa kujitawala 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hii ndio mnaita modern estates? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtanivunja mbavu. Sasa hebu compare hiyo na hii uone ule upuzi mnaojenga

 
Sasa hii ni mpya na imejengwa na wakoloni? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Your browser is not able to display this video.
 
this houses look like Maasai manyatta homesteads
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…