Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwezi mkoromea baba yako na mama yako wanakupa chakula la sivyo watoto wa namna iyo uwa wanalala njaa au kama unaona kapange geto lako
Ndio nakuambia hatutaki kulala njaa. Na lazima uende shambani ndio tusilale njaa. Enda ulime si unajua sisi ni wazembe hatutaki kufanya kazi? Wewe enda fanya kazi ndio tukule leo
 
Computers Inna high school ndio zinakufurahisha hivi? I went to high school between 2004-2007 Na kulikuwa na computers kibao. Primary nilikuwa between 1996 - 2003, computer zililetwa mwaka wa 2000. Currently hata Shule za vijijini Na primary schools public Zina computer Na hiyo ndio kitu unajaribu kufkex nayo. Enyewe Bongolala mko nyuma.πŸ˜‚
 
Mlichelewa, sisi shuleni tulishakuwa na computer lab zenye internet miaka ya tisini.
 
Who cares about two people who decided how they want to live their lives? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. That is the least of our worries. We receive more than 2 million tourists each year so wmbonhat are these two?
Mbona mliwasifia sana mwanzoni?🀣🀣🀣
 
Do u wanna claim again Paypal is ya Makundu?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…