Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnavyojidanganya wakunyata mnajiona nyie ni special flan kwa america 😀,hizi joint combine exchange training US army anafanya na kila taifa rafiki but kundustan mnajifanya mpo deep zaidi na US army kuliko taifa lolote😀,then kwa taarifa zenu kwa ukanda huu hamna nchi ambayo iko close na USA kama TZ thus y hata viongozi wakubwa wa US uwa wanapita TZ,na sasa hivi kijeshi ni hatari zaidi ni vile TPDF halinaga show off
image_a62ab5b7-b042-41a2-abc8-59b902cb0f7720230723_193711.jpg



image_79b5d09b-e92f-43cc-99d2-4018e92784d920230723_193709.jpg


Kenge wa north hawawezi kukuelewa.
 
Hio mimi hainihusu 😁. Nenda mkafanye utafiti kisha mje mkatuambie. Mmebobea kwa udaku wa mambo ya Kenya nilidhani kwamba mnafahamu gesi ni ya kazi gani 🤣
wewe mwathadan kwahiyo kwa akili yako ya kimavi mnajenga bomba kwa ajili ya cooking gas tu? si kwa ajili ya gas to electricity generations, lng gas for cars, petrochemicals, ammonia and urea fertilizer production?

Basi as a country mtakuwa Wapumbavu!
 
Back
Top Bottom