ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
wapinga EACOP pipeline hao wanajenga nuke plant kwenye water catchment Rwanda!
View: https://twitter.com/millardayo/status/1701923523902517613
Hio nucleur ni ndoto bro hakuna mzungu anaeza kubali kuweka kinu cha nucleur africa unless awe russia, china, iran etc sio wale mabeberu never ever 😅😅😅😅Huyu mzee hataficha nyuklia bombs kweli?🤨
Reli tulijenga na miaka mbili mnajenga na miaka kumi 😁
Kama mngekuwa watu wa green energy msingejenga reli inayochafua mazingira. Mnakwenda mbele hatua mbili mnarudi nyuma hatua tano.More than 80% of Kenya's installed power capacity is green energy so I don't know what lies you are trying to peddle.
Hiyo ni Westlands. Alafu kuna Kilimani. Bongolalas really can't keep upAliyekuwa akisema Renders aanze kujificha humu. 🤣🤣🤣. Two towers each 30 floors in Westlands. Slow but surely rising!!
View attachment 2748122View attachment 2748123