Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Reli tulijenga na miaka mbili mnajenga na miaka kumi 😁
Tofauti ni kwamba reli yetu ni electrified ila yenu ni ya diesel, reli yenu haikuwa na ugumu wowote kuijenga, hata hiyo miaka miwili bado ni mingi, hiyo reli yenu haina chochote cha ziada zaidi ya kuweka machuma tu chini. Kwakifupi ni kwamba reli yenu hata sisi mngetupa tenda tungewajengea, tuna vijana wa suma jkt wangeijenga kwa miezi 6 mana sio ndefu na haihitaji utaalamu mkubwa.
 
The highlighted part had me laughing in the aisles! 😂 😂
 
Tofauti ni kwamba reli yetu ni electrified ila yenu ni ya diesel, reli yenu haikuwa na ugumu wowote kuijenga, hata hiyo miaka miwili bado ni mingi, hiyo reli yenu haina chochote cha ziada zaidi ya kuweka machuma tu chini. Kwakifupi ni kwamba reli yenu hata sisi mngetupa tenda tungewajengea, tuna vijana wa suma jkt wangeijenga kwa miezi 6 mana sio ndefu na haihitaji utaalamu mkubwa.
Wacha tuendelee kutumia diesel. Meanwhile, Kenya Railways has been making billions in revenue since operations started in 2017 wakati nyinyi bado mnangoja sijui bwawa gani limaliziae kwanza 😁.

This is a Kenyan SGR train carrying double stacked cargo from Mombasa to Naivasha. That is the main difference between Kenya's SGR and Tanzanian SGR. Yetu ni class 1 SGR meaning it allows for double stacking of containers while yours is Class II SGR; meaning no double stacking, na hata mkijaribu kulazimisha mtaharibu hizo overhead cables zenye mnajigamba nazo 🤣. Yenu was designed for passengers huku yetu ilikuwa designed for cargo.

More revenue is realized in freighting cargo than transporting people that is why Kenya opted for the Class I SGR. And also, diesel trains are most efficient in transporting cargo since their maintenance and operational costs are lower than Electric trains. Also, our SGR can be electrified and we will electrify it once we have enough installed power capacity. Right now we are focusing on ensuring every household is connected to the grid and we are at nearly 80% of the population, one of the highest in Africa. Nyie less than 40 % of your population has access to electricity na mko huku mnajigamba ati Electric Train 😁. Hiyo bwawa mnajenga won't have any major difference either. Look at Ethiopia who also have an electrified SGR from Addis Ababa to Djibouti, they experience frequent power snarl ups and delays, sometimes the train just stops in the middle of nowhere for more than 48 hours, yet they have the BIGGEST hydroelectric dam in Arica, THE GRAND RENNAISANCE DAM.

Kwa hivyo, wacha sisi tuendelee kutumia diesel SGR, we will electrify when we feel like 😁. Wacha kwanza ifike kwa border ya Uganda alafu tuone nani atakuwa anajigamba.

Here is Kenya's SGR carrying Double Stacked Cargo

View: https://www.youtube.com/watch?v=yPm7YdCXKP4
 
Amesema continue selling us food 🤣. Nyie endeleeni kutuuzia mahindi, we have better things to do than planting maize.
Better things to do yet 0.5 cents increase in unga prices is a countrywide crisis, triggering maandamano and chaos throughout the banana république
 
Hio nucleur ni ndoto bro hakuna mzungu anaeza kubali kuweka kinu cha nucleur africa unless awe russia, china, iran etc sio wale mabeberu never ever 😅😅😅😅
Power dynamics zinaenda kubadirika sana duniani baada ya Russia-Ukraine War, so huwezi jua strategies gani wenzetu watakuja nayo, si unaona hapo wana mikono yao tayari? Which means they are in control already.
 
Don’t you love the freedom of media and speech in Kenya?…… we all know nobody would dare challenge CCM lies in public without repercussion 🤣🤣🤣🤣
Freedom of speach ndio hnadanganya wakenya zaidiya million 55😅😅 tena waziri mzima hahahhaha hii ni kali ya mwaka ujao
 
At least hapa World Bank imewahurumia kidogo inasema mko 37% 🤣. A 1% difference is surely a big thing
Tafuta source ya 2023 leta hapa na ukipata nitag mm mtu wa kwanza 😅😅😅😅
 
Power dynamics zinaenda kubadirika sana duniani baada ya Russia-Ukraine War, so huwezi jua strategies gani wenzetu watakuja nayo, si unaona hapo wana mikono yao tayari? Which means they are in control already.
Never ever bro sio kwa watu hao, alete nucleur upate umeme cheap viwanda vyao vife ?? Hvi unafkiri wanaeza kubali kirahisi wakat wao ni wabinafsi na wanyonyaji 😅😅

Huoni yanayotokea niger leo kisa mtu wao kapinduliwa wanakwambia hawatoki mpaka yule rais aliepinduliwa ndio aseme wao watoke 😁😁😁😁

Wananchi wamekesha zaidi ya siku 7 nje ya kambi ya wafaransa wakiwashinikiza watoke
Hzo haki za binaadami wanazonadi zikowapi ikiwa raia wenye nchi hawasikilizwi
 
Reli tulijenga na miaka mbili mnajenga na miaka kumi 😁
Our Sgr is of Electric Standards ,inahitaji umakini kujenga,Ina components nyingi na viwango vya Kimataifa sio sawa na Sgr yenu ya kuendeshwa Kwa chang'aa.🤣🤣

Mwisho you better reply in English kuliko kuharibu Kiswahili Kwa kuandika utumbo 😁😁
 
I know you know the truth about why your railway is taking too long to build. Si ati ni ju ya umakini ya kujenga ama sijui complexity; it is because you are waiting for your dam to fill up to provide the power needed for operations. Hivi Dar - Morogoro ilimalizwa kitambo mbona hamjaanza operations 😁? Mmeabiwa mngoje hadi August 2024 when the dam will be filled before you can start using the train.
 
Back
Top Bottom