ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
Tema na nyongo kabisa sio kwa wivu huo🤣🤣Afcon ni world cup?
Atleast mfike levels cecafa haijawahi fika tuwatambue.
Afcon ni upuzi ingine Haina maana hapa Africa
Just imagine 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏 tayari mashabiki zaidi ya 800
View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1699862133398225173?t=bWWFHj50vutGS5q6JXG9Kw&s=19
Wewe mbumbumbu,Watanzania wengi Wana pesa na Wala hawategemei mikopo kujenga nyumba kama huko Kunyaland ambako kampuni ndio zinajengwa watu dormitories mnazoitanyumba.
Hata hivyo mwaka Jana pekee wa 2022/2023 mikopo ya $250 Milioni(584bilioni) zilitolewa kujenga nyumba
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1699399238843572471?t=hUmJbNqTpEIRSRZ91ROYFA&s=19
Baada ya muda mrefu Lamu port yapokea meli kutoa gundu 😆😆😆
Kabla ya 2015 wote tulikua na GDP inayopigania watu lakini baadae ya hapo tukanza kuwa na Rebased GDP in short hilo gap ni la kutengeneza kwa computer.
Karibu danganyika, upande mwingine wanaomba msaada kwengine wanajisifu wanalisha afrika🤣🤣Sasa amekiri kua tanzania ndio inawalisha wao na africa nzima 😅😅😅😅😅
Endelea kujifarijiKama kawaida KCB na Equity za Mkenya Mweusi zinawakilisha.
Yanatamani yafike huku hata kwa kutambaaDodoma imeiacha Nairobi mana Dom iko well organized, Nairobi ni kasehemu kadogo kenye maendeleo lkn sehemu kubwa ni pori na slums, li Dodoma ni likubwa sana mkuu, Nairobi tunaipa government city (Magufuli city) na haitoboi.
Aisee Tanzania kiboko, yani dude kubwa hiviii 😍😍Nyufa zimeanza kutokea katika bwawa la rufiji🤣🤣View attachment 2743137View attachment 2743138