Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kwa sasa kila kitu Tanzania ikigusa imoooo, kwenye soka ndiyo hatushikiki kabisa hapa East Afrika, wale Uganda walikuwa wanakufa mechi zote mbili home and away sema dharau zilituponza ile mechi ya pili. Na ninawaambia tu Tanzania ndiyo itakuwa nchi ya kwanza EA kufuzu kombe la dunia shika maneno yangu, hii ni kwasababu tupo serious hatuleti uchale.
 
Na wameumia kichizi yaani wameumia san tena sana 😅😅😅😅 ww huwaoni kama wamechanganyikiwa mwengine anakuomba FIFA rankings
Sasa FIFA rankings watatugusia wapi, timu ya taifa tuko mbali kwa sasa, club level ni kama mbingu na ardhi, viwanja hawatukaribii mpaka timu zao itabidi zicheze huku. Wasifosi tufanane, tushawaacha mbalii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Makenya kila sehemu tunayapiga, world class infrastructures tunayapiga, paved roads tunayapiga, quality health services tunayapiga, accessibility to clean water tunayapiga, sports tunayapiga, elimu tunayapiga, transportation tunayapiga, kila sehemu tunayapiga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom