Two illiterate Kenyans - so obsessed with Tanzania - wanadiscuss kuhusu Tanzania badala ya kujadili Ugali. π
Kenya ni nchi ya wajinga wasio na priorities, wajinga wanaopenda maendeleo na urembo wa cosmetics.
Hakuna utajiri zaidi ya chakula.π
Angalieni hali halisi Chini ya Picha ya Kwanzaπ
Investor kajitahidi kuweka world class infrastructure ( Expressway) Pia kuna developer kajitahidi kaweka Jengo zuri hapo kulia. Ila mwenye wajibu wa kusogeza miundombinu sahihi kuendana na kasi ya wawekezaji kakaza fuvu kama wakundustan wenzake kaacha vumbi na kusababisha gharama za ziada kwa mwekezaji wa Jengo hapo. (Usafi kutoa vumbi) Yaani vumbi kama kijijini
View attachment 2741744
Pia kuna picha moja huwa tulikua tunaona vumbi karibu na hiki kijengo chao, Kumbe wamewekewa pavement , lakini walivyo wachafu pamerudi kama hakuna pavement na vumbi linarudi kwa kasi kama Taliban Afghanistan π
View attachment 2741745
Jamaa wachafu sana π€£π€£π€£π€£π€£Angalieni hali halisi Chini ya Picha ya Kwanzaπ
Investor kajitahidi kuweka world class infrastructure ( Expressway) Pia kuna developer kajitahidi kaweka Jengo zuri hapo kulia. Ila mwenye wajibu wa kusogeza miundombinu sahihi kuendana na kasi ya wawekezaji kakaza fuvu kama wakundustan wenzake kaacha vumbi na kusababisha gharama za ziada kwa mwekezaji wa Jengo hapo. (Usafi kutoa vumbi) Yaani vumbi kama kijijini
View attachment 2741744
Pia kuna picha moja huwa tulikua tunaona vumbi karibu na hiki kijengo chao, Kumbe wamewekewa pavement , lakini walivyo wachafu pamerudi kama hakuna pavement na vumbi linarudi kwa kasi kama Taliban Afghanistan π
View attachment 2741745
Tembea uone kijana, usijiongopee kwa kukaa nyuma ya keyboard, sisi tushatoka huko, ukiona tunajenga classic infrastructures juwa kwamba tunazingatia ubora, uliza wakenya wenzio waliotembelea Dar recently, usijifiche Kibera ukadhani tuko sawa π€£π€£π€£π€£π€£Yafaa iwe dhambi mtu yeyote kutoka Dar es Salaam kuongelea vumbi. Hilo jii lenu lote ni vumbi ukitoa sehemu ndogo za CBD. π€£
Leta picha wacha maneno, hiyo picha tumekuwa tukiiweka miaka miwili sasa pako hivyo hvyo. Mnasubiri investor awawekee pavement wajinga nyinyi.For your information, barabara iliyo chini ya expressway, iko under construction saa hii.
Iliharibiwa sana na ujenzi wa expressway.
Gap ipi unazungumzia ya kwenye karatasi au?Hizo hesabu za vitu vingi zitafika Bongolala mwaka gani?
Kila mwaka gap inapanuka tu.
2010
KE GDP - $45 B
TZ GDP - $32 B
Gap: $13 B
2015
KE GDP - $70
TZ GDP - $47
Gap : $23 B
2020
KE GDP - $100
TZ GDP - $62
Gap: $38 B
2021
KE GDP - $110
TZ GDP - $67
Gap: $43 B
Vizuri,Kama ni hivyo πFor your information, barabara iliyo chini ya expressway, iko under construction saa hii.
Iliharibiwa sana na ujenzi wa expressway.
Hizi ni hesabu za kiuchumi sio sawa na kula githeri au mokimooPunguza unachovuta.
Kenya na Tazania kwa growth rate projection zinasema tuko bumper to bumper.
Ili TZ ifikie Kenya by 2028, Kenya lazima growth rate yake ikuwe 0%.
Dah hawa watu vituko kweli.
π π π kicheko tu hii nini unaongea ww chiziFor your information, barabara iliyo chini ya expressway, iko under construction saa hii.
Iliharibiwa sana na ujenzi wa expressway.
Hivi nani governor wa BOT vile? naomba CV yake kwanza! Mama anajua kwanini kaweka yule mpuuzi pale!