Ushuru Kenjatta
Member
- Dec 8, 2016
- 57
- 13
Huku kenya watanzania huonekana kama watu waliozembea sana. Ni vigumu uwapate wakifanya huku kazi.hahaha.....it's good we have Kenyans in Tanzanian boardrooms.the rest najua ni kuongezea ili kuendeleza battle
Many appear Tough and like they are motivated ...but honestly they achieve nothing.. Talking... I give you that... You talk too damn much... Bahati mbaya mnaishia kuwa ndumila kuwili kuclimb corporate ladder ...hiyo ndio sifa mnayokimbia nayo tena not just her ...a few friends working in UAE says the same thing.Huku kenya watanzania huonekana kama watu waliozembea sana. Ni vigumu uwapate wakifanya huku kazi.
Same here, never understood the idea behind COW.Still I dont get why Uganda and Tanzania are trying to isolate Kenya
enyewe mbona mnatenga Kenya....hahaha.Mnatuchezea rough game roundi hii sana........ni wazi kuwa Kenyans are naturally good coz we don't give a big fuss about foreigners in our midst.
mbona mmeamua kutenga Kenya?
kama mkenya tu ana-struggle kupata job ndani kenya,ataweza mtz ndani ya kenya?.Huku kenya watanzania huonekana kama watu waliozembea sana. Ni vigumu uwapate wakifanya huku kazi.
hahaha tutakujia zenu .........hata mtuhepe tutapatana tukama mkenya tu ana-struggle kupata job ndani kenya,ataweza mtz ndani ya kenya?.
fallacy of hasty generalization....."philosophical"Many appear Tough and like they are motivated ...but honestly they achieve nothing.. Talking... I give you that... You talk too damn much... Bahati mbaya mnaishia kuwa ndumila kuwili kuclimb corporate ladder ...hiyo ndio sifa mnayokimbia nayo tena not just her ...a few friends working in UAE says the same thing.
We probably loot their country. Still I dont get why Uganda and Tanzania are trying to isolate Kenya
hahaha.....hapo umenimix na kiswahili...sawa wastaarabu wa uswazi nyamalani
Hata mimi niko nje.
..
Hivi kustaarabika ndiyo kukoje? Au unamaanisha kuvaa kizungu koko?
.uzungu koko mwisho namanga.
..
Acha kushangaa shangaa mambo ya feri wewe, shilingi kuzama meli kuelea.
.hahaha.kweli Nairobi hata maskini huonekana civilized
I would appreciate any proof that supports that. Mnapenda kulia sana,ati pesa za EAC...
In 1972, the World Bank approved funds for further expansion of the airport, including a new international and domestic passenger terminal building, the airport's first dedicated cargo and freight terminal, new taxiways,associated aprons, internal roads, car parks, police and fire stations, a State Pavilion, airfield androadway lighting, fire hydrant system, water, electrical, telecommunications and sewage systems, a dual carriageway passenger access road, security, drainage and the building of the main access road to the airport (Airport South Road). The total cost of the project was over US$29 million (US$111.8 million in 2013 dollars). [8] On 14 March 1978, construction of the current terminal building was completed on the other side of the airport's single runway and opened by President Kenyatta. [9] The airport was again renamed, this time in honour of President Kenyatta after his death about five months later on 22 August 1978.
This is what I've noticed, with every Kenyan development, Tanzanians always have a myth about how Kenya didn't do it. I think that's what they have all been taught by their leaders because every single one of them believes that.
So tushawazoea endeleeni vivo hivo na hadithi za Abunwasi hahaa...
Hili sijwai lijuaKatika EAC kila eneo lilikuwa na hub yake, mfano UDSM ilikuwa ni kwaajili ya sheria, Nairobi University ilikuwa uhandisi (engineering) na Makerere ilikuwa udaktari. Hata hivyo asset zote za maana mliziweka Nairobi.
Kwa mfano, kwenye ndege makao makuu yalikuwa Nairobi na kiwanja kikubwa cha anga kikajengwa huko. Tanzania sisi tulikuwa makao makuu ya jumuia, ndiyo maana tukaambulia kale ka AICC pale Arusha.
Kwahiyo unaposema kuwa mlijenga kiwanja wenyewe siyo kweli, zaidi ya majengo pia mlihakikisha movable assets zote za maana zinahamishwa Nairobi. Sisi kupenda sana Uafrika na kuona kuwa sote ni ndugu ndicho kilicho tuponza, kumbe wenzetu ni chui mliovaa ngozi ya kondoo.
Tumejifunza kutoka makosa ya wazazi wetu na kamwe hatuwezi rudia sasa hivi ni jino kwa jino, undava undava, you hit me I hit you back (ref: Magufuli na ng'ombe wa jirani).
jf ina hazina ya watu wanaojua historia ya nchi za EA baada ya harakati za uhuru.Hili sijwai lijua
Na Bahati nzuri Magufuli anawajua wakenya ni watu wa aina gani ndio maana he doesn't give a demn na hata hayupo interested huko ukilinganisha na other community membersKatika EAC kila eneo lilikuwa na hub yake, mfano UDSM ilikuwa ni kwaajili ya mambo ya art (sheria), Nairobi University ilikuwa uhandisi (engineering) na Makerere ilikuwa udaktari. Hata hivyo asset zote za maana mliziweka Nairobi.
Kwa mfano, kwenye ndege makao makuu yalikuwa Nairobi na kiwanja kikubwa cha anga kikajengwa huko. Tanzania sisi tulikuwa makao makuu ya jumuia, ndiyo maana tukaambulia kale ka AICC pale Arusha.
Kwahiyo unaposema kuwa mlijenga kiwanja wenyewe siyo kweli, zaidi ya majengo pia mlihakikisha movable assets (Boeing planes) zote za maana zinahamishiwa Nairobi kabla ya jumuia kuvunjika. Sisi kupenda sana Uafrika na kuona kuwa sote ni ndugu ndicho kilicho tuponza, kumbe wenzetu ni chui mliovaa ngozi ya kondoo.
Tumejifunza kutoka makosa ya wazazi wetu na kamwe hatuwezi rudia sasa hivi ni jino kwa jino, undava undava, you hit me I hit you back (ref: Magufuli na ng'ombe wa jirani).
I think that's what they have all been taught by their leaders because every single one of them believes that.
.
kaka hongera sana....ila nakuonea huruma kwa vile ulivyotumia juhudi,maarifa na akili kubwa kuwafafanulia madini kama haya watu ambao dhahiri shairi ni "zero brain"..
Ni hivi; neno 'koko' kwa kiswahili chetu ni kitu cha uvuguvugu (hakieleweki kipo upande gani), mfano 'mbwa koko' ni mbwa mpole asiyebweka au yule ambaye hawezi kung'ata. Sasa 'wazungu koko' ni wale waafrika ambao wanajifanya wazungu kwa kuibia ibia vitabia viwili vitatu vya kizungu lakini siyo wazungu halisi.
.
Namanga ni mpaka wa Tanzania na kenya kwahiyo ukivuka to boda ya namanga kuja Tanzania, uzungu unauachia hapo hapo.
.
Haya maneno ni ya kiutamaduni na kihistoria zaidi. Miaka ya nyuma hapo Dar, kulikuwa na misemo kama;
"unashanga shangaa nini, kashangae feri meli kuzama, shilingi kuelea".
Mshangao huu ulitokana na kuona meli ambayo ni kubwa na nzito, kuelea, wakati shilingi (coin) kuzama (law of flotation).
Watu wengi wanaotembelea maeneo ya baharini (feri) kupunga upepo, huonekana kana kwamba wemekumbwa na bumbuwazi (being stunned) kwa jinsi bahari ilivyo kubwa. So goes "unashanga shangaa nini".
Neno feri limetokana na neno 'ferry' yaani kivuko. kihistoria, wakazi wa Dar ili kwenda ng'ambo ya pili ya Dar (kigamboni) ilibidi watumie, 'a ferry' kuvuka. Waswahili tukapaita pale kwenye kivuko, kivukoni au feri. Utamaduni huu wa kubatiza maneno ya kiingereza upo sehemu nyingi mfano carrier corp (kariakoo) na Michael chain (mikocheni) n.k.
Kwahiyo nilitumia hayo maneno kwasababu hao wakinamama kwenye picha walikuwa wanatoka feri kununua samaki huku wakibeba ndoo za samaki kichwani (utamaduni huo).
.
Unaweza kufikiri hawa wamama hawajastaarabika lakini wanajua ku-apply physics kuliko unavyodhani.
Hizo ndoo unazoziona zimekuwa balanced vizuri kabisa, wenyewe tunasema "all forces are concurrent". Yaani hapo ndoo imeganda kichwani vizuri kabisa ikiwa imekaa kwenye khanga (as a damping mechanism) with 'resultant force' approaching to zero. Any excessive force acted at any angle will be corrected by the 'superior brain cells' of these women. Concept hiyo hiyo ya ku balance ndoo ndiyo inayotumika kutunda 'suspension bridge' (kama Golden bridge ya San Fransisco) au ku fly an airplane.
Hapa umepiga msumari wa kichwa.
.Na Bahati nzuri Magufuli anawajua wakenya ni watu wa aina gani ndio maana he doesn't give a demn na hata hayupo interested huko ukilinganisha na other community members
.FYI, Tanzanians aren't that much lazy to believe and follow each and everything a leader says! We do research on our own! So what we say abt you Kenyans is purely out of our findings and reality.
Unlike you guys, you are like a flag. You do and probably say everything as per your leaders' wish