chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Hio ngoma hapo juu muda wowote ardhi inashiba π π π πBooming Kenyas residential architecture
View attachment 2732567
Booming Tanzanias residential architecture
View attachment 2732570
Goba, 20km from the CBD
View: https://youtu.be/h9SARepxh1U?si=1HVA4kgo3BKUH1tB
Anytime soon ππππHio ngoma hapo juu muda wowote ardhi inashiba π π π π
Mwengine ndo huyu anasema kibera ina bahariπππMnapenda kukana vya kwenu Sanaπ€£
Masaki ya wapi hii, ya kibera au. Na kama ni kweli ni Masaki basi itakuwa ya Nyerere hiiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe ni kichaa, the guy hajapinga maendeleo, ila anataka holistic development, an all round, well balanced maendeleo, sio tu infrastructure na mnaendelea kujaza ma mbu mbu mbu kwa taifa wewe ukiwa mmoja wao, liko wazi sana π π π π π π , mbona wewe ni kichwa ngumu hivi? kwani uelewa hauna?..., ina maana na wewe pia ni kama wale watoto asili mia arubaini na mbili(42%) wanaozaliwa na akili zilizo duaa kulingana na takwimu aliyo nukuu mjumbe, hawana uwezo wa kifikra na uelewa, u are totaly myopic, hauna uewelewa wa mambo.., lack of logic and critical thinking.π€£π€£π€£. Wewe na huyo jamaa wote ni vichaa .. sasa utakua na madaktari+vifaa halafu hao wagonjwa watatibiwa chini ya mti au.? Infact uzalishaji wa madaktari pamoja na ununuzi wa vifaa tiba ulikua unaenda sambamba na ujenzi wa hizo hospitals, ukitaka uthibitisho upo..
Suala la ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, meli na BRT, hizi zote zilitekelezwa Ili ku easy transportation , wachina wako na statement moja wanasema "if you want development build roads first" and that's the reason hata serikali yenu inaminyana kujenga hizo infrastructures. Zingatia hii "huwezi link Industrial sector na agricultural sector pasipokuwa na miundombinu wezeshi, such as roads and railways..
Hiyo point namba tatu aliongea upuuzi na chili tu, kila aina ya transportation system Tz inaongozwa na waTz n we do better, hili hata mtoto mdogo aneza thibisha..
Hizo points zingine ni upuuzi wote na chuki kwa aliyekuwa mtawala since alifanya yote hayo anayoropoka hapo .
We jamaa vipi wewe, unaelewa lakini ninachozungumza we kichaa π€£π€£π€£. Hakuna sector iliachwa nyuma wakati wa utawala wa mjomba so hizo zote anaongelea huyo msigwa ni porojo tuWewe ni kichaa, the guy hajapinga maendeleo, ila anataka holistic development, an all round, well balanced maendeleo, sio tu infrastructure na mnaendelea kujaza ma mbu mbu mbu kwa taifa wewe ukiwa mmoja wao, liko wazi sana π π π π π π , mbona wewe ni kichwa ngumu hivi? kwani uelewa hauna?..., ina maana na wewe pia ni kama wale watoto asili mia arubaini na mbili(42%) wanaozaliwa na akili zilizo duaa kulingana na takwimu aliyo nukuu mjumbe, hawana uwezo wa kifikra na uelewa, u are totaly myopic, hauna uewelewa wa mambo.., lack of logic and critical thinking.
Huyu sijui ni mwanabunge mgani lakini nishampendaThe best 007 hii ndio nchi unataka nizaliwe ndani.., π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£, make sure umepatia huyu simba kura yako, anastahili.., amekushinda na wewe ki fikra π π π π π
View attachment 2732490
Mwambie hizo ndio sehemu zina nafuu hapo Masaki, Most of it inakaa hivi. π€£ π€£Mwengine ndo huyu anasema kibera ina bahariπππ
Zee la kujifurahisha, Jana ulitokomea wapi.? π€£π€£π€£Mwambie hizo ndio sehemu zina nafuu hapo Masaki, Most of it inakaa hivi. π€£ π€£
View attachment 2732690
Hii labda tuifananishe na Kahawa Sukari both in terms of size and quality- Hata Kahawa Sukari kidogo imepangika. Hiyo Masaki vijumba vimetapakaa tu π€£
Kahawa Sukari
View attachment 2732692
niambie hii mombasa inatofaut gani na stone town znz π π π π π hata mwanza haifui dafu manake mwanza imepangika vilivyo na mji wa kisasa kabisaZee la kujifurahisha, Jana ulitokomea wapi.? π€£π€£π€£
Infrastructure zipi unazungumzia mnazo? Flyover? Infrastructures tunazo sisi sio nyie, tuna electrified railway, tuna cable stayed bridges, tuna BRT nyie hamna vyote hivyo alafu unasema mna infrastructures π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hapa East Africa obviously ni Kenya, Tanzania taifa lenye raiya hawana sauti, ufukara unaotokana na ushamba na kutokujua mengi, Kenya has better infrastructure, fast internet, vast business networks, better education, good exposure, best communication network, reforming/progressive political landscape(kuna mabadiliko), sio hiyo CCM tangu mababu hamna reforms..,
Uganda a military state, poor infrastructure, limited networks.,
Rwanda is overrated.., been there, apart from cleanliness and organization bado sana., hakuna mengi ya kufanya kule.., kisha they see u as an outsider.., wako reserved sana.,
Burundi same whatsapp group na Tanzania kifikra na maisha..,
I can't wait to see 2025, what a mess! πππππ
We Mzee since day one umembinyia mama Mapu***, project nzuri kabisa people centered nayo unatoa nyongo tena katikati ya battle. Namna gani hii kaka? It will take so much for your bad wishes to come true.I can't wait to see 2025, what a mess! πππππ