Lakini kusema ukweli ni punguani mgani huyu anaweza linganisha Karen na Masaki? Yani
Sama boy 255 unachekesha kweli. Hadi unasema Masaki ni mara tatu ya Karen? 🤣 🤣
Wacha nikuonyeshe Karen ilivyo compared kwa Masaki ndio nirudi kwa ule mtaa unaoweza fananishwa na Masaki hapa Nairobi, yani Syokimau. Tuanze na Area. Mimi nakuletea facts.
Masaki 4.48 sq.km
View attachment 2731541
Karen 64.28 sq.km
View attachment 2731542
Sama boy 255 Unaona facts sivyo? Yani Masaki itaingia kwa Karen mara 14. Halafu unasema Masaki ndio kubwa. 🤣🤣🤣