Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

b.png


a.png


Nimeangalia body language ya jinsi Ramaphosa alivyokuwa akisalimiana na viongozi waliohudhuria mkutano wa Bricks plus, ni wazi South Africa wanamkono wabaridi kwa Nigeria, labda ndiyo maana wamenyimwa kuingia Bricks plus. Hapo Ramaphosa akisalimiana na Kashim Shettima Mustapha (makamu wa rais wa nigeria) ni kama wamegombana, ni tofauti na aliposalimiana na Rais Samia, kwa Ndashimiye wa Burundi (Rais) alimkumbatia kabisa.
 
The kind of industries setting up in Tatu city.
Alafu unapata wendawazimu hapa wakilinganisha na upuzi wa dodoma
View attachment 2727224
Issue ni ziko wapi 70 companies ziko wapi 50km of tarmac na ziko wapi 3000 houses wewe tumia hasira utumiavyo lakini majibu haya hutayapata mpaka kiyama kitasimama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

Na mm najua unahangaika kubadilisha uongo kua ukweli lakini mbaya zaidi umekutana na watu ambao tunaifahamu vzr kenya na huna chakutudanganya
Screenshot_20230822-184723.png
Screenshot_20230822-134531.png
 
Sasa hii ndio ufananishe na Tatu City?..., office blocks tu!!, zenye hamko sure zitapata wateja wengine mbali na ofisi za serikali!!, ujinga mzigo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo matatu city iKo na majengo mangapi?
 
Tuta-
As of now, your estates are crap. By the time you finish your 200km unadhani tutakuwa tumekaa tu?🤣🤣 Barabara zinaendelea kujengwa Nairobi. Mkimaliza hizo 200km tutakuwa tumeongeza 500km Nairobi.
Alafu 200km ndio nini Sasa. Unadhani 200km zitabadilisha Jiji kama Dar? FYI mkimaliza kujenga hizo 200km bado estate zenu zitakuwa na barabara za vumbi. 200km ni kitu kidogo Sana kwa Jiji lenye watu Zaidi ya 6M. Najua spatial knowledge yako iko low huwezi elewa.
Kwani sisi tunaongea sana basi, sasa hivi tu hizo access roads hamtuwezi, tumeishawahi kuwa na battle humu. Hiyo phase 2 next year inaisha, tutarudi tena hapa mtuoneshe hizo km 500 mpya kama 50km tu za matatu city zimewatoa kamasi.
 
😅😅😅😅 umeshakula kwanza?? Umeamka na hasira za nn?? Mm nakwambia kisumu hata kwa iringi haitoboi just mark my words
LDC resident shughulika na chakula yako kwanza.
And try to save up hio pesa ya madafu you travel the world. I suggest uanze na Burkina Faso uone how your peers are doing.
 
Kwani sisi tunaongea sana basi, sasa hivi tu hizo access roads hamtuwezi, tumeishawahi kuwa na battle humu. Hiyo phase 2 next year inaisha, tutarudi tena hapa mtuoneshe hizo km 500 mpya kama 50km tu za matatu city zimewatoa kamasi.
Hatumuwezi aje Na estate zenu zote ni vumbi tupu?🤣🤣
 
Does Tanzania even have a tech industry to write about?
Kenyan tech startups take up all the financing in East Africa, and are giants in the whole of Africa.
Bongolala is better off sticking to farming and begging 😂 😂 😂


View: https://twitter.com/Benji_Fernandes/status/1610277523165962243

View attachment 2727399


With headlines like these, just in the past 2 months, I expect Kenya to break even the 2022 record.
Objectively, how will bongolala ever compete?

f1.JPG
f2.JPG
f3.JPG
f4.JPG
f5.JPG
 
Back
Top Bottom