Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wenzako hawakupi hata like🤣🤣🤣🤣
Za nini sasa waambie wakupe ww chizi🤣🤣
Screenshots_2023-08-24-08-57-55.png
Screenshots_2023-08-24-09-03-07.png
 
View attachment 2726999
Over 200Km zinaenda kupigwa lami na street lights kwa awamu hii pekee. Huku main roads zote zinafumuliwa to BRT, streets and access roads zote zinafumuliwa kuwekwa walkways, na street lights. Awamu ya kwanza tu ilitosha kuikalisha Kanairo, tukimaliza hii sijui mtakuwa mnabattle na nini? Hakua kitu mnaweza sema.
Tuta-
As of now, your estates are crap. By the time you finish your 200km unadhani tutakuwa tumekaa tu?🤣🤣 Barabara zinaendelea kujengwa Nairobi. Mkimaliza hizo 200km tutakuwa tumeongeza 500km Nairobi.
Alafu 200km ndio nini Sasa. Unadhani 200km zitabadilisha Jiji kama Dar? FYI mkimaliza kujenga hizo 200km bado estate zenu zitakuwa na barabara za vumbi. 200km ni kitu kidogo Sana kwa Jiji lenye watu Zaidi ya 6M. Najua spatial knowledge yako iko low huwezi elewa.
 
The kind of industries setting up in Tatu city.
Alafu unapata wendawazimu hapa wakilinganisha na upuzi wa dodoma
Screenshot_20230824-123649~2.png
 
Back
Top Bottom