Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa upo sawa kweli huko upstairs.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. DODOMA government city sio kwaajili ya ya investments za viwanda kichaa wewe.. mbona hata jina linajieleza .. DODOMA government city ipo ndani ya DODOMA ya DODOMA City ambayo ndio huko kuna viwanda, kampuni tofauti tofauti, airports, bus terminus and everything.. government city was designed kwaajili ya serikali kuhamia hapo.. so ni classy City ya aina yake, usitake kulazimisha hati kwanini hakuna viwanda..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ili uingize kwenye sentence moja na takataka inaitwa tatu City.. wacha ukichaa mjomba. Majengo yatakayoonekana humo kando na ministries ni balozi, kumbi za mikutano, hotels, gardens n.k ..usitegemee kuona mabati ya blue humo mjomba 🀣🀣🀣.. usifosi vitu kaka
 
Value? Revenue?.., Kiambu county yenye Tatu city iko ndani has revenue zaidi ya city yeyote Tanzania nje ya Dar.., tafuta lingine kaka.., kisha Tatu city iko na economic value kuliko hiyo Dodoma government city ndani ya Dodoma.., so tunaeza kulinganisha Dodoma vs Kiambu county.., na Tatu City vs Dom. govt City.., boss hapa hamna kitu.., umeona ukweli sasa umegeuza gear πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kisha ikamilike baada ya miaka mingapi?.., tatizo Tanzania sio kuanzisha miradi, tatizo ni kukamilisha.., mtakua mmezeeka ama wengine hampo duniani kwa vile mambo yanavyo enda.., poleni. #SGR.., 2023 mwaka unaisha SGR bado!!!..,,
Tanzania Ina pesa acha kabisa,sisi sio Hungry failed state kama Kunyaland.

Miradi yote itakamilika kama kawaida
 
Hii picha umeokota wapi ?? 🀣🀣🀣🀣 usinambie umeokota google

Maana nimecheka sana kitu mulichobakiza kwasasa nikuokota picha za google ili kujifurahisha nafsi zenu nakupunguza maumivu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nani hakujui ww ukikamatwa kende unatoroka mwezi mzima huku alaf unakuja na id nyingine kuchungulia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Au mpaka tukuumbue siku moja
 
Wavumilie kwa sasa hawana raha na amani walidanganywa miaka 60 kua kenya pekee ndio iko europe na sio africa sasa wanashtuka kuona zimbabwe iko mbele kuliko wao wanaanza kua na hasira na ukiwakuta twitter wanatukana kweli kweli 🀣
 
Hii picha umrokota wapi ?? 🀣🀣🀣🀣 usinambie umeokota google

Maana nimecheka sana kitu mulichobakiza kwasasa nikuokota picha za google ili kujifurahisha nafsi zenu nakupunguza maumivu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Goodle earth itadhibitisha, mimi sio mwehu na sina janja janja kama zenu.., boss utanikomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Hzo ni municipal collection mzee 🀣🀣🀣 usichanganye chai na pombe
Leta zako kilaza..., masomo muhimu ona sasa, ungefyata tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani hakujui ww ukikamatwa kende unatoroka mwezi mzima huku alaf unakuja na id nyingine kuchungulia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Au mpaka tukuumbue siku moja
please be my guest..., mimi sio mwehu kama wengi wenu mlivyo
 
Kenya remittances ni zaidi mara mbili ya pesa zenye Tanzania inapata kutokana na utalii kwa mwaka.., a major source of revenue ya TZ.., watafute wenzao bana
Huoni Tanzania wameshindwa na Uganda kwa remittances.
Kenya tunashinda all EAC countries combined plus Ethiopia kwa remittances
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…