Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii sindio tatu 😅😅😅 njoo sasa unionesehe ziko wapi 50km invisible of tarmac road na 75 invisible companies on earth nataka leo uje hapa unioneshe kitu hakijawah tokea duniani machizi nyinyi

Over 15yrs munajenga kitu hakieleweki alaf muko hapa kupanua midomo yenu au mufakiri hapa ni nairaland vile hua munawadanganya wa nigeria huko 😅😅

Ndio maana munakua mifala kila siku kujiongopea ujinga kwa aibu wakat dunia inasonga mbele mumekaa kudanganyana na siasa za kikuyu kua muko europe kumbe hata zimbabwe inawaacha mafala nyinyi 😅😅😅

Hvi nyinyi munaijua vzr 50km tarmac road manyuzii 😅😅😅😅

Hakuna kitu mutaongopa kwnye hii thread as long mm niko hapa hakuna mark my words 😅😅😅😅😅 na najua kuna baadhi yenu munanichukia sana vile hua naanika chupi zenu hapa
View attachment 2725122
View attachment 2725124
Mbn kweupe kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa kaingiza Range rover sport mbili 2023🇹🇿
Screenshot_20230822-162531.png
Screenshot_20230822-162516.png
 
Kwahiyo huu upuuzi ndiyo wa kufananisha na Dom? Nyie wakenya mna masihara sana, hivi unajua ni kiasi gani kimewekezwa pale Dom mpaka inaoneka ilivyo hivi sasa?
Nimekuambia ni chizi tu atalinganisha tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
 
Nimekuambia ni chizi tu atalinganisha tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
Where is 50km tarmac, where are 3000 houses, ziko wapi 75 companies there ??
Are they invisible?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We know how to read.
Also, Bolt has just announced their ridership across several countries in Africa, not cities.

Tanzania LDC is of course bottom of the barrel.
View attachment 2725252

View attachment 2725253View attachment 2725254
Taifa fukara hii, watu wengi lakini hovyo!..., Bolt ni Dar pekee but not even popular.., a town like Eldoret, cubs are the in thing, bolt can't compete with Wasili Cabs.., kiukweli, hii mambo ya cubs, Tz bado ni ushago, wageni wenye wamezoea such services wanapata tabu while in Tanzania..,
 
Ndio hiyo Dodoma Mji wa Serikali vs Tatu city on exactly the same scale. Mwenye macho asingoje kuambiwa atazame. 🤣

View attachment 2725281View attachment 2725282
Moja yenye faida(Tatu) na yenye haina faida yeyote kiuchumi(Dom).., majengo ambaya hayatumiki kwa sasa , na hayana economic value kubwa.., nini huwa inatatiza Tanzanians kiakili? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom