ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
in dar vs in kenya 😅😅😅😅 raha sana
in dar vs in kenya 😅😅😅😅 raha sana
Uwe unasoma na ww sio unakwenda tu 👇 ww umpost dar pekee yeye kapost ya kenya nzimaGood start Kwa Tanzania ,nyie Kunyaland mko na hiyo biashara mda mrefu.
in dar vs in kenya 😅😅😅😅 raha sana
Kumbe ni Kunyaland nzima na mie nimesema ya Dar peke yake 😂😂
Bongo hua nyuma sana on matters tech, the last time I checked hata UberEATS na Glovo hazijafika huko bado.
Which tech?U compare dar vs kenya nzima au 😅Bongo hua nyuma sana on matters tech, the last time I checked hata UberEATS na Glovo hazijafika huko bado.
amelibeba kama lilivyo huku hajui linaonyesha rangi ya chupi 😂😂😂😂😂😂in dar vs in kenya 😅😅😅😅 raha sana
Ndinda utafanya wakanironge sasa hawa watu 😅😅😅 manake nikitaja chupi basi wanajamba muda woteamelibeba kama lilivyo huku hajui linaonyesha rangi ya chupi 😂😂😂😂😂😂
Ndinda utafanya wakanironge sasa hawa watu [emoji28][emoji28][emoji28] manake nikitaja chupi basi wanajamba muda wote
BRT awamu ya 5 kuanza mwezi Disemba
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1693924471575306431?t=rBRBrdFl9pTpUf5ADBcxJw&s=19
🤣🤣🤣🤣 na kweli kutu naziona ziko za kutosha, kwa kutu hzo kama ni mm ningeenda kupima hzo chupi kwa wale wanunua skrepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Taja mkuu, Hadi tuone mapindo yalivyo na kutu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lipstic zilikata na ukiulizia bei utaambiwa 5m usd ilitumika pale 😅😅😅 mm nawashauri waweke vyoo walevi watumie manake haina tofaut na vyoo vya barWakulungwa wa kaskazini Lipstic barabarani zitakua zimefutika na vile vituo vimeota nyasi walishe ngombe.
Kenya is so advanced in tech hadi tech services ziko in other major cities out of Nairobi. Huko bongolala ukiondoa dar is a slum unabaki bila kitu. 😂😂😂😂Which tech?U compare dar vs kenya nzima au 😅
Advance in what? Kitu gani ?? Tanzania imeanza kutumia smart driving licence 10yrs ahead of u mukiwa bado munatumia driving licence za vitabu 😅😅Kenya is so advanced in tech hadi tech services ziko in other major cities out of Nairobi. Huko bongolala ukiondoa dar is a slum unabaki bila kitu. 😂😂😂😂
Bongo hata Paypal hakuna na tuko 2023.😂😂😂 Au bado munangoja kickbacks kama vile mulifanyia starlink. Huwezi compare Kenya na bongo on matters tech. Wacha kuota mchana we mwarabu bandia.Advance in what? Kitu gani ?? Tanzania imeanza kutumia smart driving licence 10yrs ahead of u mukiwa bado munatumia driving licence za vitabu 😅😅
Advance in what?? Ndio swali langu
😅😅😅😅😅 unaulizwa swali unajibu mwarabu bandia hii ndio shida yenu akili zenu zimejaa chuki na ukabilaBongo hata Paypal hakuna na tuko 2023.😂😂😂 Au bado munangoja kickbacks kama vile mulifanyia starlink. Huwezi compare Kenya na bongo on matters tech. Wacha kuota mchana we mwarabu bandia.
😅😅😅😅😅 unaulizwa swali unajibu mwarabu bandia hii ndio shida yenu akili zenu zimejaa chuki na ukabila
Since 2020 mzee👇👇👇
View: https://twitter.com/TanzaniaDigest/status/1339265875514433541?t=CZu3Xvt0D_9C4WECueiqfg&s=19
Prove then 🤣🤣🤣🤣PayPal is not officially available in bongolala. 😂😂😂 Nimekuambia uwache kuota mchana husikii.
Munateseka sana aiseeee.😂😂😂😂 PoleniProve then 🤣🤣🤣🤣