Yaani huna habari huyo rais pia ametembelea Tz akiwa njiani kwenda kwenye BRICS summit SA? Nyang'au umejaa mijisifa ya kipuuzi🤣🤣Everyday at statehouse Nairobi, these days, there is an international visitor. I wonder what has created the interest.
Indonesian President
View attachment 2724474
Nacheka bro, siliii🤣🤣🤣View attachment 2724319
Endelea kulia
Wamekwamilia hiyo tweet yani kila Kona wanaishare.🤣Elimu ya Nyerere haikuwafunza concept ya 'sarcasm'?
Hapa pembeni watu wanatupa plastic bags zenye kinyesiThe most innovative city in Africa. Nairobi Kenya
View attachment 2724484
Are u happy 😅😅😅😅Everyday at statehouse Nairobi, these days, there is an international visitor. I wonder what has created the interest.
Indonesian President
View attachment 2724474
tunahofu na nyinyi ndio mlianza hii thread ya ujinga....smhHehe yani wanahofu na tanzania kuliko corona 😅
View attachment 2724355
Wanaufananisha na Tatu city 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣DOM government city ndio hiyo tena 👇umeshaanza kuleta taswiraView attachment 2723901
Hili jengo mimi mwenyewe kusema ukweli huwa silipendi japo ni kweli ni refu lakini limejengwa kizamani. Lilipaswa liwe la vioo tupu, kuna aja lifanyiwe renovation, walifanyie cladding ya vioo liendane na usasa.Acha wivu, very nice building standing tall View attachment 2724221
Uheheheh yale matusi muliokua munatukana watanzania 6yrs back yako wapi?? Yameenda wapi kama hamuna hofu?tunahofu na nyinyi ndio mlianza hii thread ya ujinga....smh
Tatu wamejenga nn over 15yrs now?😅😅 hata 1% ya render badoWanaufananisha na Tatu city 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siku hizi wanaiogopa Dodoma sio mchezo, ukiweka picha za Dom wanakaa kimya, wivu unawashika wakiona a new African world class city inavyozidi ku take its shape.Tatu wamejenga nn over 15yrs now?😅😅 hata 1% ya render bado
Alaf waambie dodoma gvt city hakuna misitimu ya umeme 😅😅😅 wala hakuna misitimu ya internet kila kitu kimepita underground labda hawana taarifa😅😅Siku hizi wanaiogopa Dodoma sio mchezo, ukiweka picha za Dom wanakaa kimya, wivu unawashika wakiona a new African world class city inavyozidi ku take its shape.