Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaufananisha na Tatu city 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hamna mwendawazimu anayeweza linganisha huo ujinga wa dodomo na tatu city yenye zaidi ya 50km of tarmac roads na over 70+ businesses and industries
 
Hamna mwendawazimu anayeweza linganisha huo ujinga wa dodomo na tatu city yenye zaidi ya 50km of tarmac roads na over 70+ businesses and industries
Hzo 70 business ziko wapi? na hzo 50km ziko wapi?? Ukizipata nitag πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wachana na 50km nioneshe just 10km nicheke sasa hvi

Kitu munaweza nyinyi ni uongo na sifa za uongo kwa hilo mumejaaliwa chiz wewe
 
Yani tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments ndo ya kulinganishwa na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
 
Hamna mwendawazimu anayeweza linganisha huo ujinga wa dodomo na tatu city yenye zaidi ya 50km of tarmac roads na over 70+ businesses and industries
Msikieni huyu mwehu 🀣🀣🀣🀣🀣

Na nikuambie tu hakuna mji wa ku level na Dodoma "the modern city" hapa EA, najua mnaumia but mtazoea tu mtake msitake, ikiwa maendeleo makubwa ya Tz mliyazoea ndiyo itakuwa Dom the modern city?
 
Hzo 70 business ziko wapi? na hzo 50km ziko wapi?? Ukizipata nitag πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wachana na 50km nioneshe just 10km nicheke sasa hvi

Kitu munaweza nyinyi ni uongo na sifa za uongo kwa hilo mumejaaliwa chiz wewe

Utachoka tu. Tatu City rapidly transforming into East Africa's Sandton.
Hii ata Dodoma haifiki.
And unlike Dodoma where 90% of new constructions are government buildings, in Tatu there is 0% government infrastructure. Not the roads, not the buildings, not the power.

View: https://youtu.be/78moaC4oqRw?t=383
 
Yani tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments ndo ya kulinganishwa na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
View attachment 2725059View attachment 2725060
Where are they usiniletee siasa za wakikuyu na kalenjin hzo 75 companies ziko wapi au ni invisible??🀣🀣🀣🀣🀣 kampuni 75 hazionekani au???

Kwani 50km road ni invisible ?? Mbona express way 15km tunaiona hapa πŸ˜…πŸ˜… kwann hio 50km ya tatu haionekani na haijwah onekana ??

Hata usiniomeshe 3000 houses naomba niletee 50 houses sasa hvi nifunge acc forever πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hakuna mkenya anaeza nisumbua mm unajua kwann kwasabbau najua mpaka alama za chupi zenu wapi zilipo so njoo taratibu
 
Hakuna kitu kipya kinaonekana hapa 5min video anajipamba alaf 3min anatafuta gari end of story na mm nilishakwambia tatu ina over 15yrs na haijawah fikiksha hata 1% of its render πŸ˜…πŸ˜…

Au hii sio render ya tatu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ potelea mbali kabisa.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani tatu city yenye 50km of roads, 75+ businesses, 3000 houses and apartments ndo ya kulinganishwa na dodoma yenye majengo 10 ya serikali
View attachment 2725059View attachment 2725060
Hii sindio tatu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… njoo sasa unionesehe ziko wapi 50km invisible of tarmac road na 75 invisible companies on earth nataka leo uje hapa unioneshe kitu hakijawah tokea duniani machizi nyinyi

Over 15yrs munajenga kitu hakieleweki alaf muko hapa kupanua midomo yenu au mufakiri hapa ni nairaland vile hua munawadanganya wa nigeria huko πŸ˜…πŸ˜…

Ndio maana munakua mifala kila siku kujiongopea ujinga kwa aibu wakat dunia inasonga mbele mumekaa kudanganyana na siasa za kikuyu kua muko europe kumbe hata zimbabwe inawaacha mafala nyinyi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hvi nyinyi munaijua vzr 50km tarmac road manyuzii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hakuna kitu mutaongopa kwnye hii thread as long mm niko hapa hakuna mark my words πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na najua kuna baadhi yenu munanichukia sana vile hua naanika chupi zenu hapa

Don YF ukitaka mitaa yote nitakujia Halafu ukaangalie kupitia google earth sijui kitu gani huko, halafu hata uone kama utaonana na hiyo mess
anytime any day.., Dar yoote mimi nakuanikia humu.., kote kote.., uongo pelekea wabara na wa vijiweni wenzako, sio mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…