REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,609
- 11,533
Moja ni hili, bomba la gesi.Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Jamaa nae ni jinga flani, unashukaje kijinga vile, halafu taratibu!!??
1 city state, tunawekeza Dodoma na mikoa mingineNairobi has 10 towers of over 25 Floors under construction. Something funny, these towers will be completed even before Mzizima in Dar is done
View attachment 2713875View attachment 2713876View attachment 2713877View attachment 2713878
Wafaransa wanachimba Uranian Niger, wanaipata kwa bei ya kutupwa. Umeme ufaransa kwa kiasi kikubwa ni wa nyuklia ya Uraniam inayotoka Niger.Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Kwani hao Wagner walioletwa watakuwa wanakuchekea na kukulinda Bure bila kuchimba Uranium? Upumbavu ule ule.Wafaransa wanachimba Uranian Niger, wanaipata kwa bei ya kutupwa. Umeme ufaransa kwa kiasi kikubwa ni wa nyuklia ya Uraniam inayotoka Niger.
Luongo Placing Niger In Big Picture Context
For βBig Pictureβ I think we can substitute βTheory of Everythingβ.meaninginhistory.substack.com
Total is a multinational company though headquarters yake iko France lakini haiendeshwi au kutishwa na serikali yoyote ile mfano mzuri issue ya Total na EU.Huu mradi upo chini ya Total ambalo ni kampuni la Ufaransa, ila pesa ndio wanaomba China, Sasa Kama serikali ya Ufaransa ikivunja mahusiano na Uganda na kuiwekea vikwazo, itawezekanaje kampuni lao kuendelea kuwekeza Uganda?
Hizi ni towers sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi has 10 towers of over 25 Floors under construction. Something funny, these towers will be completed even before Mzizima in Dar is done
View attachment 2713875View attachment 2713876View attachment 2713877View attachment 2713878
PSA iko wazi Total akizingua ananyanganywa vitalu anapewa mchina simple. Maana atakuwa ameshindwa kuendelea na mkataba kitu ambacho hakiwezi kutokea considering the amount of money aliyo spend kwenye development ya hizo oil fields.Huu mradi sio mradi wa China, huu ni mradi wa Wafaransa, maamuzi yote yapo mikononi mwa TOTAL Energy, ambao ni Wafaransa, China ni financer tu, Sasa TOTAL wakiamua kusimamisha shughuli zao hadi muafaka upatikane, China atawezaje kuchukua mradi?. Kwanza ataanzaje wakati gharama zote za utafutaji wa Mafuta na visima vyote ni Mali ya Total Energy?
Kati ya yule anaechukua 10 anakuachia 0.5 na yule anaechukua 10 akakuachia 5 bora ni yupi???π π π π πKwani hao Wagner walioletwa watakuwa wanakuchekea na kukulinda Bure bila kuchimba Uranium? Upumbavu ule ule.
Tuoneshe mkatabaKati ya yule anaechukua 10 anakuachia 0.5 na yule anaechukua 10 akakuachia 5 bora ni yupi???π π π π π
Historia ni mwalimu mzuri na inasema warusi hawana historia ya kuinyonya Afrika.Kwani hao Wagner walioletwa watakuwa wanakuchekea na kukulinda Bure bila kuchimba Uranium? Upumbavu ule ule.