Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza kuwa mtu safi tuu ila vitu vya kujinga na ubinafsi ukakufanya uonekane mpumbavu. Sasa hiyo post na Usukuma umeingiaje? Wewe ni mtu mzima mzee changanua maneno kabla ya kupost. Unachuki binafsi na Usukuma ambao haukusaidii kitu.
magovinda huwa suala la mgawanyo wa keki si kitu mnajua!
 
mbona Arusha hawajajengewa vituo vya mabasi viwili au uwanja mkubwa kama wa Mwanza? vp wametendewa haki?
Maendeleo hayawezi kufanyika kote kwa wakati mmoja, Mwanza walikua hawana uwanja wa ndege wenye hadhi kulingana na mahitaji wa Jiji, muhimu ilikua ni uwanja wa ndege kwanza.

Arusha kutokana na maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027, ukaribu wa Arusha na Nairobi, ndio uliochochea Arusha kujengwa kiwanja kipya, Mwanza kwa Sasa haina uharaka wa kujenga kiwanja kipya cha mpira, Kirumba bado inaweza kuhudumia mahitaji ya Sasa kwa Jiji la Mwanza.
 
sasa tatizo nini mimi kushauri ule uwanja kwa nafasi yake na ulipo, uwe modernized? Mbona nchi zinazoendelea zinafanya hivyo au unafananisha uwanja wa CCM Kirumba na Sheikh Amri Abeid Arusha? Nadhani hamjui mnachoongea! Hamuwezi kufananisha hivi viwanja viwili hata kidogo!
 
Tatizo hivyo ni viwanja/miradi ya chama Cha siasa, haifai serikali kuwekeza katika miradi ya vyama vya siasa, itaonekana serikali inapendelea chama kimoja Cha siasa, hivi utajisikiaje wewe ukiwa ni CHADEMA Kodi yako inakwenda kutumika kuwekeza katika miradi ya CCM?
 
Si tatizo serikali inaweza kununua ule uwanja au ika-partner na ccm! Au ccm yenyewe ika-modernize ule uwanja!
 
Si tatizo serikali inaweza kununua ule uwanja au ika-partner na ccm! Au ccm yenyewe ika-modernize ule uwanja!
TFF kwa muda mrefu imekua ikifanya mazungumzo na CCM Ili kuboresha viwanja vyao, TFF ndio mteja wa hivi viwanja, serikali haipaswi kujihusisha na miradi ya vyama vya siasa, ni kosa kisheria, Kumbuka hata shule za sekondari zilizokua chini ya Jumuiya ya wazazi wa CCM, serikali ilishindwa kutoa msaada wowote kutokana na kubanwa na sheria, hadi CCM wenyewe wakaona hawawezi kuzisimamia wakazikabidhi serikalini na hivi Sasa ni Mali ya serikali.
 
Wakenya wanajua kua hii sio Santiago Bernabeu au Milan ni Benjamin Mkapa Stadium siku ya Mtani fanyaneni bidii aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20230806-230903.png
    174.7 KB · Views: 25
  • Screenshot_20230806-230720.png
    129.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_20230806-230925.png
    113.7 KB · Views: 21
  • Screenshot_20230806-230801.png
    147.8 KB · Views: 21
Mama yako hamna kitu upstairs, naona slowly unaanza kukubaliana na ukweli. Nasikia ukiachia mgao wa umeme na maji, sasa mafuta ni foleni. 😂
 
Umeona hii maneno? runway inaongezwa urefu na utawekwa taa ufanye kazi 24 hrs! Hivi Usukumani kuna mtu ana-own hata charter?

No any progress mradi wa ujenzi wa dual carriage way barabara ya Arusha - Moshi njia nne ? Things are extremely slow.
Mama anahitaji kuwa mstari wa mbele kufuatilia mambo . Otherwise things will always take forever.
 
Huyu Mama kumbe amefundisha wengi na hazeeki.

Waliosoma Micro economics Udsm wanamfahamu sana hasa hasa kwenye course yake ya Welfare economics
 
Kwa nini serikali isivitaifishe?
 
Kwa nini serikali isivitaifishe?
Ni sawa kusema serikali itaifishe maduka ya wachaga na wakinga pale Kariakoo, au itaifishe shule zote za private hapa nchini. Hiyo ni miradi binafsi(Private property), serikali inapaswa kuhimiza "private investments" sio kunyakua Mali za watu kwa nguvu. Bora useme "kwanini serikali isijenge viwanja vyake?", hivi Sasa serikali ndiyo inajenga viwanja vyake ikianzia Tanga, Dodoma na Arusha, na pale Tanganyika Parckers, Kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…