49 out of 54 wamekwenda bado ww unataka kuwaona wote hawana akili na mwenye akili ni ww usiekua na uhakika wa kula milo mitatu??🤣🤣🤣🤣Hao wawakilishi hakuna trade deals/policies yeyote wanaweza funga na Putin, wako hapo kuongeza idadi. Russia account only 1% of foreign investment in Africa, huo mkutano ni more political na waafrika tushaamka.
Hakuna minister tulipeleka, unabisha bado.?Nimekuuliza una hakika hamujapelekea muakilishi au simple like that 🤣🤣🤣 ndio maana muna ukabila nyinyi kwasababu mumeshiriki ubinafsi mbaya sana hamuna utu kabisa kondooo nyinyi
Maneno mkosaji hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi za CAF zichezwe viwanja vibovu Kama azam, Nyayo ni ya world rugby na athletics.
Maelezo yako hapo chini [emoji116]Huu mkataba unakuwaje? Watu walipiga chao?
Sasa Kama Sudan tu inawatoa jasho, bado unazungumza kuhusu Urusi?, Kenya kwa Urusi ni sawa na sisimizi kwa tembo, kwanza hamna faida yoyote kwa Urusi zaidi ya kuomba chakula.Hakuna minister tulipeleka, unabisha bado.?
Kenya’s President William Ruto will skip the upcoming Russia-Africa Summit, choosing, instead, to be represented by the African Union.
Kila kitu kwa viwango vya Kunyaland, sio kwa viwango vya CAF, ndio sababu timu zenu zote zitalazimika kuja Tanzania.Nyayo stadium inakila kitu hapo. Levels za CAF ni azam complex[emoji1787][emoji1787]
Sasa kama hakuna minister mumepeleka basi africa nzima wamekwenda 49 out 54 kwetu sisi kaenda waziri mkuu wa nchi just imagine 😅😅😅😅😅 uganda kaenda mseven, burundi kaenda na congo kaenda rais wa nchi yani east africa nzima imekwenda kasoro nyinyi 😁😁😁Hakuna minister tulipeleka, unabisha bado.?
Kenya’s President William Ruto will skip the upcoming Russia-Africa Summit, choosing, instead, to be represented by the African Union.
Kenya ni mfano mbaya Sana hapa EA katika mambo mengi Sana, jaribu kufuatilia na kuijua Kenya kwa undani kuanzia uchumi, siasa, usalama na kijamii, kamwe huwezi kutamani hata kujihusisha na Kenya kwa lolote lile.Hapo wakenya wametushinda.
Wanaomba chakula mpaka nchi zenye jangwa asilimia 100🤣🤣🤣🤣Sasa Kama Sudan tu inawatoa jasho, bado unazungumza kuhusu Urusi?, Kenya kwa Urusi ni sawa na sisimizi kwa tembo, kwanza hamna faida yoyote kwa Urusi zaidi ya kuomba chakula.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo kidogo umenishawishi aisee. Ila 31 billion ni pesa nyingi sana aisee.Upigaji hakuna hapo, na gharama ni zaidi ya 31 billion.
1. Lift mbili mpya
2. Viti vyote vya mashabiki kutolewa kuwekwa vipya na vua kisasa zaidi
3. Bench la wachezaji wa akiba kuwekwa la kisasa na viti VIP
4. Mfumo wa taa. Mfumo wa taa uliokuwepo ni taa za kilofa amzo zikizimika hutumia zaidi ya 30mnts kuwaka tena, sasa zzinawekwa mpya na za kisasa na nyingi zitakazowaka kwa sekunde zikizima
5. Screens za matangazo ya Biashara uwanja mzima
6. Two big screen/Mpira na matokeo
7. Mgahawa
Mambo ni mengi kwa kweli na kitakwenda kuwa kiwanja bora sana Africa. Ujenzi utakamilika next year July, nafikiri waona ni ukarabati wa nguvu mno.
Usome Kirusi Ili ukakitumie wapi?Mbona english mumejifunza na kichina watu wanajifunza au ubaya uko wapi?? Mbona sisi tunalazmisha kiswahili kiongelewe africa na dunia???🤣🤣🤣aliesema ww ni dalali kweli hakukosea manake akili zako zimekaa kibinafasi tu
Upuzi tuUsome Kirusi Ili ukakitumie wapi?
Unasoma kichina kikakusaidie nn kuna watu wanajifunza kifaransa kikasaidie wapi??🤣Usome Kirusi Ili ukakitumie wapi?
Umechoka maneno ww na nani??🤣🤣🤣Tumechoka maneno waje Sasa
HahahahaUpuzi tu
China ndio second boss wa uchumi Duniani na Wachina wako all over the World sio sawa hao wapuuzi njaa wa Russia.Unasoma kichina kikakusaidie nn kuna watu wanajifunza kifaransa kikasaidie wapi??🤣
Kwan wanaojifunza kiswahili nchi zingine zitawasaidia wapi??
Alaf ukiambiwa ww dalali unakataa kweli?🤣🤣