Nitajie kiongozi alie skip wakat kila ambao hawakuenda wametuma wawakilishi kwa tanzania waziri mkuu kaenda utasemaje wame skip?? Alaf kwann useme mkutano wenye dharau hvi ww unajua hao warusi walikotoka na vita vya kiuchumi walivopitia mpaka leo hii unaona wanaweza tikisa dunia au ww unafkiri huyo mchina tunaemshangilia leo hujui kama nyuma ya technology yuko mrusi??😅😅😅 ukituliza kichwa vzr haya mambo utayajua vyemaViongozi wa Africa walioskip huu mkutano wa kindezi nawapa salute.Ni mkutano wenye dharau kubwa kwa Africa.biashara ya Urusi na Africa ni $14b yeye anaimport not more than $2bil na katika hiyo ni katika mataifa matano au sita yaani Egypt,Algeria,South Africa,Eritia na Sudan.Import yetu kubwa ni Silaha tu halafu tunafunga safari kwenda kwa mtu tunayempa faida ni ujuha wa Hali ya juu sana
Kumbe hizi mambo Kenya ni mashikoro mageni? Akyamungu hawa ndio wanasema nchi yao ni ICT hub? Nimeshtuka sana🤔😅😅"Wametuzidi vitu vingi" kumbe wanajifunza kimya kimya kutoka Tanzania. [emoji23][emoji23][emoji23]
Unanyang’anya watu leseni zao kibwege tu alafu unawapa ndugu zako wachimbe then unashtakiwa unaanza kulaumu regime nyingine? Ebu tuweni serious aisee…..!!Usikubali chuki ikutawale kiasi cha kutoona mema yaliotendwa na watu wema na kushindwa kukemea uovu iliofanywa na Kikwete.
Ndo hapo sasa, huwezi kueleweka mzee! Ni watu wenye upeo mpana wanaweza kukuelewa ile Taasisi ya Urais inahitaji Hekima ya hali ya juu! Mimi naona ifike mahali mali za wahusika zitaifishwe kulipia fidia tukianza na za JPM mwenyewe!Unanyang’anya watu leseni zao kibwege tu alafu unawapa ndugu zako wachimbe then unashtakiwa unaanza kulaumu regime nyingine? Ebu tuweni serious aisee…..!!
Kumbe hizi mambo Kenya ni mashikoro mageni? Akyamungu hawa ndio wanasema nchi yao ni ICT hub? Nimeshtuka sana[emoji848][emoji28][emoji28]
Wewe unamatatizo na uwezo wako wa kufikiri ni finyuNdo hapo sasa, huwezi kueleweka mzee! Ni watu wenye upeo mpana wanaweza kukuelewa ile Taasisi ya Urais inahitaji Hekima ya hali ya juu! Mimi naona ifike mahali mali za wahusika zitaifishwe kulipia fidia tukianza na za JPM mwenyewe!
Aliyekuambia Tanzania kuna few roads ni nani? Hizo picha za barabara za Kenya mnazileta humu kila siku, zimejaa kila kona ya Tanzania. Hata wilaya ya Masasi ina barabara kama hizo.Tanzanians build a few roads and think they are the best. Look at the roads in Kenya
View attachment 2700108
kama Magufuli sio? Kuna makesi yatakayoigharimu nchi si chini ya $ 1 bln kutokana na upuuzi wake!Wewe unamatatizo na uwezo wako wa kufikiri ni finyu
49/54 wamehudhuria badilisha mawazo yako dunia ishabadilika 🤣 🤣 🤣 leo marekani akisema africa hakuna kwenda chooni je hatutaenda au? bado munamawazo yakitumwa au?Viongozi wa Africa walioskip huu mkutano wa kindezi nawapa salute.Ni mkutano wenye dharau kubwa kwa Africa.biashara ya Urusi na Africa ni $14b yeye anaimport not more than $2bil na katika hiyo ni katika mataifa matano au sita yaani Egypt,Algeria,South Africa,Eritia na Sudan.Import yetu kubwa ni Silaha tu halafu tunafunga safari kwenda kwa mtu tunayempa faida ni ujuha wa Hali ya juu sana
Kundustan imehudhuria?49/54 wamehudhuria badilisha mawazo yako dunia ishabadilika 🤣 🤣 🤣 leo marekani akisema africa hakuna kwenda chooni je hatutaenda au? bado munamawazo yakitumwa au?
Barabara very low quality huoni mahandaki hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ratio ya lami ni ndogo sana shoddy works watu wamekula chapaaRoads in Wajir
View attachment 2699852
Upumbavu ni wetu sisi kama wananchi kuchagua viongozi wa hovyo na wao kama viongozi kuchagua watu wa hovyo kwenye nyadhifa muhimu za serikali wakati majembe yako nje mtaani.Unajuwa Nyerere alikataaga haya mambo, baadhi ya watu walimwona mjinga ila sasa yanatutokea puani. kiufupi hawa jamaa siyo wajomba zetu, kamwe hatuwezi kushinda kwenye mahakama zao, sheria hizi hazikuwekwa kwa ajili yetu.
Bange siyo nzuriThe largest roundabout in East Africa.
Rift Valley Kenya. 0.67km
View attachment 2700107View attachment 2700106
Lazima wapeleke mwakilishi unafkiri mchezo🤣Kundustan imehudhuria?