Basi ni kitu tofauti kabisa na alichofanya Simba maana Simba wamezidua jezi zao kileleniHautajawahi kuzindua jezi mlimani ila tulishaifikisha jezi yetu kileleni kitambo kabla ya timu yoyote Tz.
Mandonga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kapigwa
bottom up economy ilienda wapii?Failed shakahola, still people believe Kunyaland isn't a failed state
Kuna kitu ww hunielew ndio maana tunabishana 🤣🤣🤣Bado hujaona tofauti ya Africa na nchi za wenzetu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huu ni ukweli kabisa,ikimuona mtu analeta ubaguzi ujuwe huyo,Haa asili ya Tanzania,ana asili ya nje au asili ya ukimbizi.Tanzania ndiyo nchi pekee isiyo na ubaguzi Africa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kundustan wanaisoma namba 😀Meanwhile your best teams will play their CAF games in Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, Mimi ninaamini kwamba wewe ni msomi mzuri na ukweli unaujua vizuri Sana, tatizo lako kubwa ni "bias against Western countries.Kuna kitu ww hunielew ndio maana tunabishana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afadhali kupigwa ban kuliko kucheza uwanja mbovu Kama Azam.Meanwhile your best teams will play their CAF games in Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole Sana.Kundustan wanaisoma namba 😀
Afadhali kupigwa ban kuliko kucheza uwanja mbovu Kama Azam.
nimemkuta anashangilia ban ya wanaume kusuka Zanzibar, sasa nikajiuliza yale makabila ambayo wanasuka kimila inakuwaje? je wale makalasinga wanausuka na kuvaa Turbine je? Je Rastafarians? Ikumbukwe Zanzibar hiihii ilikuwa na sheria dhidi ya Wanzazibari wenye asili ya Oman na Shiraz!Mkuu, Mimi ninaamini kwamba wewe ni msomi mzuri na ukweli unaujua vizuri Sana, tatizo lako kubwa ni "bias against Western countries.
Mfano mzuri ni haya maandamano France vs Kenya. Wakati maandamano huko France yamesababisha uharibifu mkubwa na kusababisha hasara x 1000 ya Yale ya Kenya, hakuna vifo vyovyote vilivyosababishwa na vyombo vya Dola dhidi ya waandamanaji, police wamezuia maandamano bila kutumia silaha za moto, bila kuteka watu na kufanya "intimidation acts" kwa mtu yeyote.
Huku Kenya Kila siku watu wanauliwa na hakuna mtu hata mmoja anayewajibishwa Wala hakuna uchunguzi wowote unaofanywa na serikali, yaani serikali imehalalisha kwamba mtu yeyote atakayefanya maandamano hana haki ya kuishi Kenya.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimemkuta anashangilia ban ya wanaume kusuka Zanzibar, sasa nikajiuliza yale makabila ambayo wanasuka kimila inakuwaje? je wale makalasinga wanausuka na kuvaa Turbine je? Je Rastafarians? Ikumbukwe Zanzibar hiihii ilikuwa na sheria dhidi ya Wanzazibari wenye asili ya Oman na Shiraz!
Thank you for reading the comments keep it up.I hear your pain mkunya [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi unaweza kutuambia nini kinatokea kwa mtu mwenye wivu na akachanganya na "inferiority complex?".Afadhali kupigwa ban kuliko kucheza uwanja mbovu Kama Azam.
Huyu anawashukuru polisi wa Kenya kwa kufanya kazi nzuri, anasema eti wanafanya kazi "professional", zaidi ya watu 50 dead yeye anasema wapo professionalnimemkuta anashangilia ban ya wanaume kusuka Zanzibar, sasa nikajiuliza yale makabila ambayo wanasuka kimila inakuwaje? je wale makalasinga wanausuka na kuvaa Turbine je? Je Rastafarians? Ikumbukwe Zanzibar hiihii ilikuwa na sheria dhidi ya Wanzazibari wenye asili ya Oman na Shiraz!