Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Two rivers giving you sleepless nights 🀣🀣🀣🀣
Jifunze kitu kimoja kuhusu Tanzania, we are The Godfather of inclusive economy in Afrika, anything we build or entertain to build is to serve the needs of the mass. Hapo Ubungo pakikamilika njoo mwenyewe uone, utakuta Wazambia, Wacongo, Wamalawi, Waganda, Warundi, Wanyarwanda, Wazimbabwe na hadi Wakenya wanashop, lakini hapo River Mall in 0.5% ya Nairobians ndio utawakuta hapo, so acha compare ujinga.
 
Hahah another china square, ndio kariako ikufee vizuri
 
Kwa nini wasiimarishe mifumo wa kutumia mastercard na Visa au hata Unipay kwenye utalii? Na kwenye mahoteli waweke ATM za kutosha ili mtalii aweze kutoa pesa anazo hitaji 24x7
waulize mabenki labda hailipi! Bureau de Change lazma ziwepo nenda kokote unazikuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…