joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Unajua maana ya neno kunawiri?, Inaendelea katika nchi chache na ndogondogo, Sasa Uganda, Ethiopia Somalia na Kenya Kuna biashara gani ya kujisifia?, UK pekee ilikua ikinunu mirungi yenye thamani zaidi ya mara 3 ya thamani ya nchi zote hizo 4 kwa pamoja, kitendo Cha UK kukataza hiyo biashara, ilikua ni pigo kwa hiyo biashara, hivi Sasa mnatapatapa lakini biashara sio nzuri kabisa.BAN ya UK ilikua 2014 kwanini biashara ya mirungi inaendelea kunawiri almost 10 years later
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

