The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
The last time a Tanzanian president sneaked unofficially in Kenya there was troubleAs a President from a big brother state she went to Nyanyuki to bring to table all oppossing forces in Kenyan politics before things get out of hand.
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu mnacheka?The last time a Tanzanian president sneaked unofficially in Kenya there was trouble
Wameshaanza kuchinjana mdogo mdogo, baadae mauaji ya halaiki is loading........Wanaelekea kuzuri

















Wanauliza na kujijibu
Eti wana democracy
Huyo mama hamna kitu kichwani, kitambo tu nilisema. Mbaya kavabishwa, hiyo ilikuwa 2019 bendera kuwekwa hapo. Huyo mama ni kituko!Asee.. Hii ni kauli ya Rais?.. Rais anaongelea mambo ya kuwekwa bendera kwenye majengo ya watu? Kazi ipo
Civilized people use civilized means to express their grievances (Martin Luther King Jr & Mahatama Ghandhi), uncivilized people use violence, killings and intimidation. You need to visit a civilized country to learn how to solve problems amicably.https://youtu.be/o6UcwIBaxMcTanzanian men ni waoga sana
KabisaInaonesha demand ya ndege za mizigo ni kubwa sana
Kupanuka wapi wakati soko lake kubwa huko UK walishapiga marufuku, Wacha kujiliwaza.Biashara ya mirungi inaendelea kupanuka
BAN ya UK ilikua 2014 kwanini biashara ya mirungi inaendelea kunawiri almost 10 years laterKupanuka wapi wakati soko lako kubwa huko UK walishapiga marufuku, Wacha kujiliwaza.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So france, hongkong etc are uncivilized countries sababu wanaprotest very violently... Dictatorship countries only ndo wanaogopa kuprotest eg North Korea and Tanzania mtapigwa marisasi nyote na CCM 🤣🤣Civilized people use civilized means to express their grievances (Martin Luther King Jr & Mahatama Ghandhi), uncivilized people use violence, killings and intimidation. You need to visit a civilized country to learn how to solve problems amicably.https://youtu.be/o6UcwIBaxMc
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app