instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Hii ndo wanalinganisha na konza sijui Tatu...basi wakenya ni vichaa...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hii ndo wanalinganisha na konza sijui Tatu...basi wakenya ni vichaa...
Konza na tatu zina miaka zaidi ya 15 lakini hazijafika hata 1% of the render ndio ajabu😅Hii ndo wanalinganisha na konza sijui Tatu...basi wakenya ni vichaa...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hio kibera ikipeleka mbeya inakua CBD🤣🤣🤣Kibera slum dunia inayoifahamu 😅😅👇👇
Au kina kibera slum nyingine tofaut na hii
The largest worse slum on planet
View attachment 2687443
So hutaki satellite au ww unaakili kuliko mwenye satellite??
Nani hajui kibera kama ndio worse slum on planet nani hajui???![]()



Hio kibera ikihamishwa Zanzibar inakua posh area👇🏿🤣🤣Kibera slum dunia inayoifahamu 😅😅👇👇
Au kina kibera slum nyingine tofaut na hii
The largest worse slum on planet
View attachment 2687443
Ona sasa hasira zote unaanza kuokota mapicha ovyo ovyo ya google kwann unatumia hasira sasa😅😅😅😅😅😅😅Hio kibera ikipeleka mbeya inakua CBD🤣🤣🤣View attachment 2687492View attachment 2687493View attachment 2687494View attachment 2687495
Ona sasa unapost mpaka picha za znz tena za zamani sana kwann unatumia hasira hvo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mchezo huu hautaki hasira budaaaHio kibera ikihamishwa Zanzibar inakua posh area👇🏿🤣🤣View attachment 2687499View attachment 2687500View attachment 2687501View attachment 2687503View attachment 2687504View attachment 2687505
Kwanza nicheke tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndio ile znz hutapenda kuiona 😅😅😅Hio kibera ikihamishwa Zanzibar inakua posh area👇🏿🤣🤣View attachment 2687499View attachment 2687500View attachment 2687501View attachment 2687503View attachment 2687504View attachment 2687505
Yaa inawezekana kwa sababu kibera tayari ni CBD ya NairobiHio kibera ikipeleka mbeya inakua CBD🤣🤣🤣View attachment 2687492View attachment 2687493View attachment 2687494View attachment 2687495
Empty green field of konza. Sio mbaya. 🤣🤣🤣🤣
hicho kifod kinafanya nini mjini duh!
Second biggest bus station in the region.Nice Coverage.
Dodoma is destined for BIGGER things, Biggest State House in The World, Biggest SGR station, Biggest Judicial House in Afrika, Longest Ring Roads in the regional, Biggest University in Afrika, Large Market building, Second Biggest Airport terminal and much more…….all Bigger, Larger and Better.
Alafu sasa, hii Government City na Housing Schemes zake zinatosha kabisa kukata ngebe za miji kama Kigali na Mombasa. Hakuna nyakati najisikia raha kuwa Mtanzania kama sasa.
HEHEHE....I CAN CLEARLY SEE SOME USWAZI COVERING 98%....GOOD JOB WITH THE FILTERS THOUGHOna sasa unapost mpaka picha za znz tena za zamani sana kwann unatumia hasira hvo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mchezo huu hautaki hasira budaaa
Ngoja nikupe new pictures 👇👇👇👇
View attachment 2687527View attachment 2687528View attachment 2687530View attachment 2687531View attachment 2687533View attachment 2687534