Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio sheria ni kwa wazawa tu
Basi kama ni hivyo ni upuuzi na kutofikiria, mwanzoni nikaona sawa wana msimamo mana taratibu, mila na desturi za sehemu husika lazima zifuatwe, ila walipobadilisha imeonekana wazi walikurupuka.

Utamjuaje mtu kama ni mzawa? Kwamba wakiona mtu kasuka wanaanza kumuuliza utaifa wake sio? Upuuzi huu.
 
Slum city new look

20230712_213939.jpg
 
Back
Top Bottom