joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mbona hii kitu hutaki kuizungumzia unaikwepa? [emoji1][emoji1][emoji1]
Tanzania ni shamba la mkulima mmoja mdogo
Mbona hii kitu hutaki kuizungumzia unaikwepa? [emoji1][emoji1][emoji1]
Kenya and Tanzania trade now EAC’s fastest-growing
Elimination of non-tariff barriers between the two nations working in their favour.nation.africa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Twiga food = Tanzanias food = Tanzanias gainKenyan own Twiga Foods has revived the project… have you seen their warehouse at Tatu city?… impressive….. hopefully more bigger things coming… this should enhance our National food basket…
It's only 9 billion deficit sijui hio double yako ulkua unatoa wapi. Kenya last year ilikuwa na kiangazi ndo maana tuliimport alot of food stuff, watch mwaka huu hio deficit itapungua.. alafu mtu anaweza fikiria ni kitu important mnaexport kenya unapata 80% ni mahindiMbona hii kitu hutaki kuizungumzia unaikwepa? [emoji1][emoji1][emoji1]
Kenya and Tanzania trade now EAC’s fastest-growing
Elimination of non-tariff barriers between the two nations working in their favour.nation.africa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kiukweli hadi nimekosa cha kusema .ila tafuta siku ufike dodoma nitakua mwenyeji wakoTwiga Foods Tatu City… it will take 50 years to see something like this in Dodoma…. And Bongolalas try to do comparisons…. What a joke!…🤣🤣View attachment 2680406
Sasa mbona "baba" ameitisha maandamano kesho ya kuvaa sufuria ya ugali kichwani?🤣🤣Twiga Foods Tatu City… it will take 50 years to see something like this in Dodoma…. And Bongolalas try to do comparisons…. What a joke!…🤣🤣View attachment 2680406
Nini cha maana hapo? Hizo nyumba 3? Barabara zenyewe vumbimwaiofhawaii. Unajua mkitaja taja dodoma me huwa nafurahi tu [emoji1787] DODOMA ni league nyingine Bro. Cheki hizi mitaa wala sio government city but they are rapidly growing .. juzi nimepita DODOMA wakati nikienda Mwanza, anyways nimeona hiz picha kwa jamaa wa kuuza viwanja. Heb toa tongo tongo kidogo [emoji116]. .
Sisi sio jokers kama nyinyi mzee 👇Nini cha maana hapo? Hizo nyumba 3? Barabara zenyewe vumbi