The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Msenge wewe na vile vibanda mliweka kwa ajili ya BRT mliweka vya nn au maonyesho? Mmeharibu tax payers money mnaleta story za sizitaki mbichi hizi, wewe ndiyo maana sionagi umuhimu wa kukujibu mana ni fala na huna elimu ya kutosha, unapelekwa na hasira kuliko uhalisia, ukishindwa kubali ili ujifunze ulipokosea msenge wewe, nchi gn haitaki BRT, huko ulaya ndiyo kimbilio lao itakuwa failed state Kenya? Jibu ni kwamba hamtokuja kuwa na BRT wala trams mana infrastructures hizo haziwezi kuwepo huko kwenu labda mbomoe kila kitu muanze upya kitu ambacho pia hamuwezi.Hakuna brt itajengwa Kenya.
Hatutaki barabara zetu ziwe ugly Ivo.
Never.
One other thing to note. Tanzania has three airports with an average of 1.5 ml passengers a year!! NOTE THAT!!According to that data in East Africa 2022
JKIA 6.56million
JNIA 2.4million
Zanzibar 1.77 million
Entebbe 1.71million
KIA 828k
Kigali 718k
Bujumbura 235k
Vitu vya ku note
Zanzibar gets more pax than Entebbe
KIA gets more passengers than Kigali
Growth of Air Tz will boost JNIA use as hub be ause of transit ya passengers , hyo ndo bread and butter ya KQ na Ethiopian
Congrats JKIA
Aaaa Bosi, BOLE tena......[emoji1787][emoji1787] Huko mbali mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila siku huwa nasema Air Tanzania ndiyo itakayoleta heshima ya JNIA hasa transit, ofcz now tunaendelea vizuri zikija Max 2, dreamliner 1 jumla zitakuwa 3, na hizo bombardier yn mambo yatazidi kunoga, kdg kdg tunapangua machaka ya Bole, mm siiwazi JKIA ishajifia naiwaza Bole.
Ndio nakuambia sasa, tuna kila sababu ya kupambana na Ethiopia sio hawa wanuka mavi, tunajivunia nchi yetu inavivutio vingi sema viongozi waliopita walituangusha sn, kama tungekuwa na visionary leaders tungekuwa tunaongelea SA na sio Bole. Tunapaswa tujiwekee malengo makubwa, hivi vinchi failed like Kenya, Ethiopia hatupaswi kushindana navyo.Aaaa Bosi, BOLE tena......[emoji1787][emoji1787] Huko mbali mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kuanzia. Ethiopian wana ndege 140......sisi hata 10% ya hiyo namba bado hatujafika [emoji1787][emoji1787] Africa hakuna shirika hata moja linawafikia. Kwa wale tuwaache tu bossNdio nakuambia sasa, tuna kila sababu ya kupambana na Ethiopia sio hawa wanuka mavi, tunajivunia nchi yetu inavivutio vingi sema viongozi waliopita walituangusha sn, kama tungekuwa na visionary leaders tungekuwa tunaongelea SA na sio Bole. Tunapaswa tujiwekee malengo makubwa, hivi vinchi failed like Kenya, Ethiopia hatupaswi kushindana navyo.
Kuna ndege mbili zinakuja mwaka huu za abiriaKila siku huwa nasema Air Tanzania ndiyo itakayoleta heshima ya JNIA hasa transit, ofcz now tunaendelea vizuri zikija Max 2, dreamliner 1 jumla zitakuwa 3, na hizo bombardier yn mambo yatazidi kunoga, kdg kdg tunapangua machaka ya Bole, mm siiwazi JKIA ishajifia naiwaza Bole.
Hamna SGR pale hata hiyo ya Ethiopia sio level yao pia.Hebu onesha hiyo SGR nicheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah Air Tanzania ndo itayoipa Heshima JNIA , of course nairobi wanapata more airlines than Dar but factor kubwa ni cause ya KQ , Bole haipati international airlines nying cause Ethiopian is very strong..Kila siku huwa nasema Air Tanzania ndiyo itakayoleta heshima ya JNIA hasa transit, ofcz now tunaendelea vizuri zikija Max 2, dreamliner 1 jumla zitakuwa 3, na hizo bombardier yn mambo yatazidi kunoga, kdg kdg tunapangua machaka ya Bole, mm siiwazi JKIA ishajifia naiwaza Bole.
Tanzania got more airports than the rest. Airports 3 featured here the remaining 3 wanagawana wao hii ndio maana ya baba lao kiuchumi.According to that data in East Africa 2022
JKIA 6.56million
JNIA 2.4million
Zanzibar 1.77 million
Entebbe 1.71million
KIA 828k
Kigali 718k
Bujumbura 235k
Vitu vya ku note
Zanzibar gets more pax than Entebbe
KIA gets more passengers than Kigali
Growth of Air Tz will boost JNIA use as hub be ause of transit ya passengers , hyo ndo bread and butter ya KQ na Ethiopian
Congrats JKIA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maneno ya mkosaji mnatia huruma kweli.Hakuna brt itajengwa Kenya.
Hatutaki barabara zetu ziwe ugly Ivo.
Never.
Mombasa kuna Airport?What of Mombasa airport?
Hahahaha, hawa watu ni wajinga Sana, Kila kitu wanategemea private sector, yaani serikali yao haiwezi kufanya lolote. Failed state.
Uwanja wetu ni mkubwa kuliko uwanja wowote EA ata ukilia huo ndiyo ukweli.Hahaha kwani hakuna international cargo plains zinaland iyo kauwanja kenu kila siku?
Hili sasa ndiyo ghost tunalosemaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]