Gdp ya Tz inakuwa sana kwa sababu pia ya FDI , FDI Inakuza sana( Private investments ) plus Goverment Expenditure ..Hatuwezi kufikia Kwa growth rate ya 5.2% tuliyonago Kwa Sasa,tukijitanidi by July Next year wakitia tutakuwa kwenye dollar bil.80 na sio zaidi ya hapo..
Okay ni moja wapo ya factors lakini kuna factors kama 4 au 5 kwenye GDP..Amesema uchumi wa Tanzania unaendeshwa kwa miradi, nijuavyo uchumi wa nchi yoyote ni mauzo ya nje na ndani ambayo ndio yanatengeneza GDP
Government expenditure ni moja ya indicator tu,naukiangalia huko zimewekwa pesa nyingi sanaMiradi ndio tunaexport?
Ni vyote , private investments na public investment,Rudi kwenye kanunia ya GDP utaonaAmesema uchumi wa Tanzania unaendeshwa kwa miradi, nijuavyo uchumi wa nchi yoyote ni mauzo ya nje na ndani ambayo ndio yanatengeneza GDP
Ni sawa lakini miradi mingi tulionayo pesa nyingi zinaenda nje kwenye ununuzi wa mitambo na materials nyingi ambazo hazizalishwi hapa nchini na ndio bei ghali kuliko zinazozalishwa nchini, mradi wa $3b unaweza kuta $2b zote zimetumika nje ya nchiOkay ni moja wapo ya factors lakini kuna factors kama 4 au 5 kwenye GDP..
Mfano Ethiopia ha export kuzidi Tz ila GDP yake kubwa ..
GDP= Consumption +Investemetns + Govt expenditure+ (export -import )
Government expenditure sio pesa za miradi, ni mishahara, warsha, furniture, magari, chai, allowances etcGovernment expenditure ni moja ya indicator tu,naukiangalia huko zimewekwa pesa nyingi sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimefafanua vizuri, sikatai ina mchango ila haiendeshi uchumi, miradi ni matumizi ya kodi sio uzalishaji kwenye means of production japo on the process pia miradi kwa namna flani inachochea sekta za uzalishaji, tena miradi yetu ambayo wakandarasi 90% ni makampuni ya nje ndio changamotoNi vyote , private investments na public investment,Rudi kwenye kanunia ya GDP utaona
Simple concept ya GDP ni monetary value ya kilochozalishwa Kwa certain interval of time and in line with hii concept miradi ni zao jipya( New capital,goods au services) ambayo haikuwepo..Nimefafanua vizuri, sikatai ina mchango ila haiendeshi uchumi, miradi ni matumizi ya kodi sio uzalishaji kwenye means of production japo on the process pia miradi kwa namna flani inachochea sekta za uzalishaji, tena miradi yetu ambayo wakandarasi 90% ni makampuni ya nje ndio changamoto
Eti nn?Government expenditure sio pesa za miradi, ni mishahara, warsha, furniture, magari, chai, allowances etc
Hajasoma uchumi huyo so mhurumie tuu.
We have two types of expenditure in governmentGovernment expenditure sio pesa za miradi, ni mishahara, warsha, furniture, magari, chai, allowances etc
Hata mimi sijasoma uchumi lakini vitu basics kama ivyo havitakiwi kukupinga chengaHajasoma uchumi huyo so mhurumie tuu.
Actually ukikaa na kuwaza vizuri Dar inahitaji vyote , ndo maana nilitamani BRT iende sambaba na kuweka Njia nane kwenye phase zake ,lakini naona budget imeshindikana .Ni Bora wafikirie kabisa na kuacha reserve ya kutosha kama hela haitoshi sasa .Maana Njia 8 to 10 zinahitajika in 10 to 15 years time
1.Posta to Kibaha
2.Posta to Vikindu
3. Posta to Bunju
4 . Posta to Gomz
Phase zote 6 za BRT Zitaisha before 2030 hiyo ndo plan ..Na baada ya 2025 we are likely to see Mwanza , Dodoma na Arusha plus or minus Mbeya Kuanza kupata BRT.
Wakati huo Dar wataanza kujenga Light Railways ..Hii itasaidiana sana kwenye Mass Transit
Amekamatwa baada ya dunia kuja juu lakini kwa vile dunia imekuja juu wamemchukua wakamuhifadhi lakini laiti dunia ingekaa kimya hata usingeskua ulichoskia 😅😅😅Mkuu upo "biased" Sana, yule mtoto alipigwa risasi na polisi, hilo lilikua ni kosa na polisi mwenyewe amekamatwa yupo ndani, Sasa hapo haki za binadamu zinakujaje wakati ni kosa la jinai na mtenda kosa amekamatwa?.
Hawa waandamanaji hawafanyi maandamano ya amani, wanachoma magari na kufanya uharibifu mkubwa Sana, lakini hakuna hata mmoja aliyepigwa risasi au kuuliwa, ingekua Afrika, Uarabuni, au nchi zingine hivi Sasa zaidi ya waandamanaji 300 wangekua wameuliwa, Kama ilivyotokea huko Iran hivi karibuni.
Kama kawaida Iran ilikua inasingizia nchi za Magharibi kuwa ndio zimechochea maandamano, lakini huko Ufaransa kamwe hawapeleki lawama kwa nchi yoyote, wao wanajua hilo ni tatizo lao na wanalitafutia ufumbuzi wao wenyewe. Ninakuhakikishia ingekua ni Afrika ungesikia "mabeberu hao ndio wanaochochea ghasia, hawa wanaofanya fujo ni vibaraka wa nchi za Magharibi". Juzi tu maandamano kidogo tu ya kupinga DPW wewe binafsi ulishaanza kusema "Ingekua DPW ni wazungu wasingeandamana".
Wiki ijayo Kenya wanaanza maandamano, hata bila kuharibu kitu chochote, watapigwa risasi na polisi hata Kama maandamano yatakuwa ya amani. Mkuu lazima ukubali kwamba wenzetu demokrasia na haki za binadamu wapo mbali Sana, tunapaswa kujifunza toka kwao.
islander M
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kinaitwa haki ya mapenzi jinsia moja hakuna kitu kama hicho 😅😅😅😅Demokrasia iliyokomaa
US Supreme Court sides with Christian graphic designer who refused to create same-sex wedding website
In a blow for LGBTQ campaigners, a landmark US Supreme Court ruling said Christian graphic designer, Lorie Smith, has the right to refuse to work with same-sex couples - but critics say it "opens the door to discrimination".news.sky.com
Hivi Uganda au Tanzania mahakama inaweza kumpa haki mwanahabari au chombo chochote Cha habari kuchapisha na kutangaza haki ya wapenzi wa jinsia Moja kwasababu tu wako huru kufanya hivyo hata Kama katiba ya nchi inatakaza mapenzi ya jinsia Moja?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio uliesoma uchumi na hujui kuna tofauti kati ya government expenditure na development (miradi) kwenye mfuko wa serikali?Hajasoma uchumi huyo so mhurumie tuu.
Labda kiswahili ndio utaelewa
Mbona sasa ndio umenyoosha maelezo baada ya kukuambia?We have two types of expenditure in government
Development expenditure and recurrent expenditure
I was talking about Development expenditure
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app