Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Konza 10 Years ago, Dodoma 🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 2672423
A 50yrs wait inamaana ujenzi haukua unaendelea kabisa na pia konza ni tofaut na kuhamisha serekali ni vitu viwili tofaut kabisa yani usitafute huruma kwa kigezo cha dodoma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… project ambazo ziko dodoma ni sawa na kenya nzima + uganda

Kwan kenya munahamisha serekali konza au tatu??
 
Kunakaa ushago kabisa!!
No uniformity!!!
A very ugly city.
Plus hujaprove izo barabara za nyuma ya ppsp ni lami!!! Barabara. Za mlango wa nyuma.
Tafuta service road kama hio nairobi alaf nitag chizi wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… alaf unajifanya unaijua tanzania unafkiri kuja tanzania ni kama kwapa tu unainua
 
Alaf wanakuja kujisifu hapa kwa umaskini huu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nchi ambayo ilijitenga na africa baada ya uhuru kwa ubinafsi na roho mbaya ikajikita kwenye biashara tulitegemea muwe level za singapore lakini wapi hata zimbabwe ina nafuu mara 100
 
lol
 
Alaf ikitokea africa utaskia haki za binaadamu ila kwao akaah media zote ziko kimya na watu wanachapika kama kawaida
 
Wako mbele yetu miaka 50 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…