Nitajie top 5 tu ya hotel za hapo mbeyaHotel za maana ndio hotel zipi? Wewe unazijua Hotel zote za Mbeya?
Hujajibi swali langu,Hotel za maana ndio za aje? Jibu Hilo harafu nianze kukutajia maana zitategemeana na jibu lako.Nitajie top 5 tu ya hotel za hapo mbeya
Alafu nikutajie hotel 5 za mji mdogo wa moshi tufanananishe...ndio utajua kua hujui
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
5* ,4*,3* mwishoHujajibi swali langu,Hotel za maana ndio za aje? Jibu Hilo harafu nianze kukutajia maana zitategemeana na jibu lako.
5 hazipo zilizopo ni 4,3 na 2..
Mbeya haina hoteli ya 4*! Just forget it!5 hazipo zilizopo ni 4,3 na 2..
Hii Huwa wanasema ni Nyota 5 lakini Haina hadhi hiyo View attachment 2670959View attachment 2670960
Hizo zingine siwezi kukutajia zimejaa hapo Mjini kuanzia za Desderia za kina Sugu Hadi Bonaki
Mkitoka huku ndiyo mjione bora otherwise mtaishia kujifurahisha tu kwa tiny estate photo kwa ground nothingYep. Almost 100% of Tanzanians who comment here have never been to Nairobi. Probably never even Namanga.
Every Tanzanian who's been to Nairobi goes back with many thoughts.
A year ago I hosted 2 of them for a wedding. They couldn't believe Kahawa Sukari was part of Nairobi, after what they thought was driving for an eternity.
Not to mention how they were impressed by general developments, especially buildings.
They were shocked that 20km from the CBD they were still seeing tall modern houses. [emoji23] [emoji23]
It was actually amusing.
Usijisumbue mkuuSasa we umefika Dar gani.? Kama hujui kama Kinondoni manispaa ni kibwa sawa na Nairobi.? [emoji1787][emoji1787] Unaijua mipaka ya manispaa ya Kinondoni.?
Idadi kubwa ya Mitaa ya washua ipo Kinondoni manispaa..
Upanga
Masaki
Osterbey
Kinondoni yenyewe
Mikocheni
Kawe
Mbezi beach
Salasala
Mbweni
Ununio beach
Survey
Bunju
Mwengo coca-cola
Makongo juu
Namba kubwa ya watu wa middle class na matajiri in DAR wanaishi wilaya ya Kinondoni.. ambayo ni same size na hiyo Nairobi yote
Halafu uko hapa eti unatamba umeshawahi kufika DAR [emoji1787][emoji1787]
GR ,Eden,Utengule Coffee na Tughimbe ni hadhi ya Nyota ngapi?Mbeya haina hoteli ya 4*! Just forget it!
Mkitoka huku ndiyo mjione bora otherwise mtaishia kujifurahisha tu kwa tiny estate photo kwa ground nothingView attachment 2670966View attachment 2670967View attachment 2670968
Mazingira ya Nairobi haya, Yani nilidhani ni Nairobi kabisa, kweli Nairobi ni kijiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]GR ,Eden,Utengule Coffee na Tughimbe ni hadhi ya Nyota ngapi? View attachment 2670984Acha kukariri ,Mbeya yenyewe unaijua lakini?View attachment 2670993
Urban planning ministry?!!!!! Says a Person whose whole country is covered by slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyinyi ndio mlianza hii thread to waste our time.....so long as 98% of dar is uswazi like...those useless cosmetic projects mnaguzia aren't helping at all.....do you have an urban planning ministry in tz really....I mean ....all your cities or whatever you call them have that signature uswazi hovels dotting everywhere....how you don't question your leaders is baffling.. or we agree tanzanians basically settle for cheap standards
Kunyaland haina utaratibu wa kusajili number plate kwa miaka, labda kama mmeanza juzi, ninyi huwa mnachora tu mabati ilimradi zitoke herufi kubwa, hamna formula wala course of action yoyote kwenye uchoraji wenu wa hayo mabatiKAU, KAP KAT, izo zote zilitoka before 2006!!
Na wajinga wenzako wanaLiKe.
Kule watu wengi wanamiliki gari zao binafsiUmeishiwa kama kawaida unatafuta pa kutokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio niliwahi Mwambia Mbeya inaongoza kuwa na kampuni nyingi za Mabasi sawa au zaidi ya Mwanza na inaongoza Kwa VIP Buses akabisha ,tukaanza Ligi akakimbia [emoji1787][emoji1787]
Yani wakenya bhana mtu anaishi na mizoga ya mbwa kibera lakini mitandaoni anajifanya yupo statesMkitoka huku ndiyo mjione bora otherwise mtaishia kujifurahisha tu kwa tiny estate photo kwa ground nothingView attachment 2670966View attachment 2670967View attachment 2670968