Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakupa homework, nitajie mji wowote tanzania ambayo haina slum nikuonyeshe. Ukweli lazima tuwape
 
Sema mzee wangu kwa hii mbeya sikuungi mkono. 🀣🀐 Mbeya ipo nyuma bhana
Sio lazima uniunge mkono maana nilishakutoa kamasi siku nyingi..

Mbeya hakuna slums Wala mabanda ya nguruwe kama ya Nairobi au Dar..

Mfano picha za Slums kama za Zanzibar alizotoa hapo huyo Mkunya nimeshangaa,sikuwa najua kama Zenj Nako Kuna mabanda πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna mtanzania anajibizana na nyinyi kwa kuongea uongo humu, kwanini nyinyi mnapenda uongo.?
Hawa uongo kwao uko inborn hata GDP yao si unaiona na hapa juzi juzi walikuwa wanaficha true value ya KES against USD kwa currency management mpaka wakaumbuliwa na WB na IMF leo reality ime catch up now fast and they are now sitting on a middle finger [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…