Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila mindset ya capitalism mbaya sana,yan utamkuta mkunya kachoka,mlo m1 kwa siku na analala kwenye slum ila bado anaamini nchi yake ni tajiri na watu wana maisha mazuri kuliko nchi jirani na kundustan
 
Mko mnajisifia jeshi lenu hapa ....


Jeshi linaloshindwa kulinda raia wake ndo litaweza hata kulinda mipaka yake....
KENYA IS THE FAILED STATEView attachment 2669606
Jana nimekutana na Mcongo nikamuuliza unaenda wapi akasema mm ni mkongo naishi Kivu kule tunapolindwa na jeshi lenu, nikamuuliza kiuchokozi huko pia askari wa Kenya si wapo? Akasema askari wa Kenya hamna kitu wanafanya kule ni ujanja ujanja tu na uhuni, nikacheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…