babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,428
- 36,043
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa Ukiwa maskini na ujamaa wako utawasaidiaje watu?
Ujamaa ni umaskini, ubepari ni hela inakupa chance ya kusaidia watu,kama unadhani na kudanganya nenda kagombee ubunge Kwa kutegemea mdomo uwe unaitwa sera na mwenzio awe anatoa mpunga harafu utaleta mrejesho..
Mkono mtupu haulambwi.
Africa Kwa mda mrefu ilikuwa imekumbatia Itikadi za kimaskini za Kijamaa so itahitaji mda kutoka huko,just imagine mtu anatamani aajiwriwe na Serikali Kwa salary ya 500k lakini akaacha kazi yake anayofanya eg ufugaji hata kama ulikuwa unampa mapato makubwa kuliko salary..
Kwenye uchumi china ana apply sera zote mbili capitalism and socialism lakini mostly kwenye masuala ya provision of social services mchina huko anatumia ujamaa ndio mana public transportation systems karibu zote ni mali ya serikali, miradi mingi karibu kila sector ni mali ya serikali na ndio mana maisha ni mazuri zaidi kwa kila raia china kuliko US .. watu waliofika huko wanaeleza .. pitia hii Shenzhen metro system it has 300+ subway stations 👇China ni mjamaa wa kwenye siasa sio kwenye Uchumi
Hivi vitu ni zaidi ya upeo wako mzee! Kuna nchi jirani inaitwa Kunyaland tangu imepata Uhuru imejipambanua Capitalist! Ila ni maskini wa kutupwa! serikali yao haiwezi kulipa mishahara miaka 60 baada ya uhuru na inaugua ugonjwa wa njaa tangu Uhuru miaka nenda miaka rudi!
Hivi vitu ni zaidi ya upeo wako mzee! Kuna nchi jirani inaitwa Kunyaland tangu imepata Uhuru imejipambanua Capitalist! Ila ni maskini wa kutupwa! serikali yao haiwezi kulipa mishahara miaka 60 baada ya uhuru na inaugua ugonjwa wa njaa tangu Uhuru miaka nenda miaka rudi!
Africa Kwa mda mrefu ilikuwa imekumbatia Itikadi za kimaskini za Kijamaa so itahitaji mda kutoka huko,just imagine mtu anatamani aajiwriwe na Serikali Kwa salary ya 500k lakini akaacha kazi yake anayofanya eg ufugaji hata kama ulikuwa unampa mapato makubwa kuliko salary..
Kuondoa mawazo ya hivi itachukua mda Africa in particular
ChoiceVariableHapa ume mquote ChoiceVariable au babayao255?
Yoyote inayomuhusu, muhimu ni kwamba Geza Ulole amatema madini ya almasi.Hapa ume mquote ChoiceVariable au babayao255?
Hahha ndio maana iyo port haijawahi fikisha 20m teus.Watanzania wameanza kutumia bandari ya Mombasa
Vitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
ukinionyesha Mathare mental hospital ikiwa na vifaa modern natoka humu ndani!Vitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
Uhuru so ndio alifanya kweliVitu uhuru alifanya 2016 ndio mnapambana nayo sahii!!!!
leta Mathare mental hospital wewe Kenge!Hizi vitu za 1998 huwa mnatoa wapi!!!View attachment 2669507
Meanwhile, Dar port is the most efficient port in the region [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahha ndio maana iyo port haijawahi fikisha 20m teus.
Malaini ya meli kwa foleni kumbe ni poor services ndani ya port!!
Ilhali Mombasa inapokea over 60ships every month.