Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama ungetoa patriotism na uwe neutral list ingekaa hivi
1. Nairobi
2. Dar
3. Mombasa
4. Kisumu
5. Nakuru
6. Arusha
7. Eldoret
8. Mwanza
Ni upuzi kuweka Zanzibar na dodoma kwenye hii list
Ni upuuzi wa kiwango cha lami kuweka Kisumu, nakuru juu ya Arusha
 
Sio za Africa sema za Kenya ndo zinaboa kwakuwa hamna miundombinu na fedha
Juzi nmewatch final Al ahly second leg
Very boring football
Afrika ni kama tuko 1960!!
Ati ndio wanaita the best game in afrika!!!

Heri ni watch EPL Hadi mwisho kuliko fake patriotism.
 
Juzi nmewatch final Al ahly second leg
Very boring football
Afrika ni kama tuko 1960!!
Ati ndio wanaita the best game in afrika!!!

Heri ni watch EPL Hadi mwisho kuliko fake patriotism.
Just because mpo hovyo kwenye soka sio lazima kulia lia, unaposema ina bore kwa perspective ipi, hakuna washangiliaji? Uwanja mbovu, au vipi? Usilete blaa blaa kwasababu tu ya kujifariji, Tz inafanya vizuri kwenye soka kwa ss hiyo ukubali ukatae ipo hivyo. Na for your information, Tz ndio itakuwa nchi ya kwanza kuiwakilisha EA kwenye World cup, kama ulivyoona kwa wanawake basi na wanaume itakuwa hivyo hivyo.
 
It’s called. Freedom of speech, a sign of a real mature democracy…. Mtu anaita Presidents walevi na mwizi… and he’s free …. Try that in Russia, Saudi Arabia… never mind , I forgot our jealous neighbors Bongolalas….. I dare any man with balls to say Mangufuli lied about COVID and died of Covid…coz that’s the real truth…. say it in a public setting….. but make sure they have written their will first….🤣🤣🤣🤣
hii ingekuwa tanganyika angekuwa ameuwawa...we are a free country
 
Just because mpo hovyo kwenye soka sio lazima kulia lia, unaposema ina bore kwa perspective ipi, hakuna washangiliaji? Uwanja mbovu, au vipi? Usilete blaa blaa kwasababu tu ya kujifariji, Tz inafanya vizuri kwenye soka kwa ss hiyo ukubali ukatae ipo hivyo. Na for your information, Tz ndio itakuwa nchi ya kwanza kuiwakilisha EA kwenye World cup, kama ulivyoona kwa wanawake basi na wanaume itakuwa hivyo hivyo.
Yet despite all that shit… we are still better than you… when last did Taifa stars or say any of your teams beat us?…. Please proceed….🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom