Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pumbavu, huko tanzania mmefundishwa kuwa wakimbizi wote hawana pesa Somalia/S.Sudan zilipoanguka refugees wenye pesa wali- settle Kenya nzima, wale maskini wanawekwa kwenye camps. President wa Somalia mwenyewe familia yake iko hapa. Jinga
Huku kwetu tulipokea refugees wengi kutoka nchi zote za kusini mwa Afrika, walikua matajiri hata kushinda sisi watanzania, lakini bado tuliwaweka katika camps.

Wakimbizi toka Rwanda na Burundi in 1990, wengi walikimbia wakibeba mifuko ya pesa mikononi, bado tuliwaweka katika camps.

Hivi Sasa wakimbizi toka DRC wanaingia kwa wingi, wote tunawaweka ktk camps. Tanzania ni nchi yenye misingi ya nchi, pesa kwetu hazitufanyi kuvunja sheria za nchi yetu. Hiyo ndio sababu kubwa tuko na amani miaka yote, Kenya mtaendelea kuwa ni nchi ya kipumbavu hadi mwisho wa Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Idadi ya waisilamu Kenya haifiki 20% sasa iweje pwani iwe 80% hio malindi iko ndani ya kilifi ambako ndo ukristo ulianzia Kenya. Hio lamu ndo kaunti yenye watu kidogo Kenya.
Choco reborn unakuwaga huna akili siku zote, ukiambiwa asilimia ya waislamu huko lamu ni 80% it means hata kama kuna watu 10 ujue kwamba 8 kati yao ni waislamu.
 
Pumbavu, huko tanzania mmefundishwa kuwa wakimbizi wote hawana pesa🤣🤣 Somalia/S.Sudan zilipoanguka refugees wenye pesa wali- settle Kenya nzima, wale maskini wanawekwa kwenye camps. President wa Somalia mwenyewe familia yake iko hapa. Jinga
South Sudan and Somalia are run from Nairobi… all their leaders families live in Nairobi ( safe haven)….. a few years back, i met John Garang son at a club in Kilimani…. The boy was really loaded with cash … he made the club go wild….
 
Hujui kitu unaongea we we, azam wamepewe TV rights za kpl kama vile bamba sports/ kbc etc lakini tatizo ni kwamba hakuna mtu mwenye decoders zao. Kitu ambacho kitatokea ni kwamba KPL itapata umaarufu Tanzania hahaha
Mmeumia ila mtazoea
 
Kisumu ifikieni Morogoro kwanza ndio mje kushindana na Mwanza
JamiiForums261767175.jpg
JamiiForums168108175.jpg
morogoro_ndio_home_1677134859766577.jpg
morogoro_ndio_home_1677134838893481.jpg
 
Hatutaki waislamu Kenya.
Wenye wako wametuletea shida tayari.
This is the worst comment I have ever seen on this platform!! Yani siamini ninachokisoma.

Mimi ni muislam mtanzania, I have a big family in Kenya, Mombasa, lamu, Nairobi nakuru, kakamega, Kisumu, Busia! Huko kote ni home! My own mother was born in Kisumu!

It really pains me to hear this from People that I truly call brothers, the people I went to school with, I grew up with! I work with.

Nimesikitika sana! Dah!
 
Back
Top Bottom