Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Idadi ya waisilamu Kenya haifiki 20% sasa iweje pwani iwe 80%🤣🤣 hio malindi iko ndani ya kilifi ambako ndo ukristo ulianzia Kenya. Hio lamu ndo kaunti yenye watu kidogo Kenya.Acha uongo ww over 80% pwani yote ya kenya ni waislamu hata ukiangalia lamu over 95% ni waislamu nimekwenda malindi over 85% ni waislamu
Kwann umasema uongo ili ukusaidie nn?? Hvi ww unafkiri kuna mtu utamdanganya humu ndani hvi mfano mm we unaeza nidanganya nn ??😅😅


