Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Undugunization kwenye kuendesha club ambayo inaua professionalism.

Nilazima wawe na professional CEO na bench la nguvu la ufundi. Nimeona kcha wao mpya Msenegal ambaye hata sijui amekua appointed kwa criteria zipi.
Mzee huyo Hajawahi ku fail kwenye biashara zake Ila kwenye hiyo timu... Kuna maswalii
 
Mimba ya mamako ilikuwaje? Ya mpachikaji mwenye utindio wa ubongo? Dr Slaa aitwe padri na wewe taahira tu na Main stream media wasione hilo na kufanya hilo?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nchi imefilisika hii[emoji122][emoji122]
Si juzi juzi tulikuwa tunalumbana nao hapa wakisema sisi huku Tanzania mikoa na wilaya zetu zikitaka hela mpaka Raisi afurahi nikawaambia hata wao pia mpaka central government yao pia ifurahi ndio counties zitapata hela. Ona sasa Ruto bado kanuna counties are shutting down[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka sana wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…