Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you admit indirectly that you guys are many than what is portrayed on the population census!!!!!!
 
wacha upuuzi wewe Slaa alipoamua kuoa aliacha na upadre! Japokuwa kweli alikuwa padri hapo mwanzo!

Wewe jamaa utakua mwanaharamu au mimba yako ilikua ya kubakwa. Haiwezekani uwe na kauli zisizo na stara hivyo. Mbona ni kawaida kwa mapadri ata wakiacha upadri wanaendelea kuitwa padri tu. Alafu wapo mapadri kibao wanawatoto ata Kama hawajaweka wazi. Wala usione nakashifu imani ya mtu. Ata Mimi ni catholic pia. Ila geza punguza kauli za kuudhi tafadhari vinginevyo ukiona post ni ya kipuuzi kausha na pita kimya
 

Jibu bado liko pale pale ni sheria walizojiwekea lakini sio kwamba mapdri au pope na watawa hawezi kuzaa au kuzalisha. Mimi sio mshika dini sana lakini Nimekuelewa kuhusu suala la mtu kua na uhuru wa kufanya anavyoona inafaa na havunji sheria yoyote.
 
Azam ina kwaza sana... Kwa resources na facility waliyo nayo walitakiwa kuongoza ligi.. Ila sijui wanakwama wapi.
Undugunization kwenye kuendesha club ambayo inaua professionalism.

Nilazima wawe na professional CEO na bench la nguvu la ufundi. Nimeona kcha wao mpya Msenegal ambaye hata sijui amekua appointed kwa criteria zipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…