Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hapo naamini kabisa tupo at 2 mil tones maana kahawa karibu yote nzuri ya Kagera inaenda Uganda. Uganda wanannunua kwa bei nzuri kuliko hapa Bongo.
 
Hahaha, Ukiacha chai, maua na labda ovacado, hakuna kitu mnaizidi Tanzania, Nyanya, Cabbage na vitunguu, ndio tunaongoza katika nchi za East and Central Africa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Cabbage kenya inaongoza Africa kwa production go and check. Same with avocado na chai. Vitu kidogo sana mnatushinda hamna anayepinga. Horticulture tumewapiga na gap kubwa sana
 
Cabbage kenya inaongoza Africa kwa production go and check. Same with avocado na chai. Vitu kidogo sana mnatushinda hamna anayepinga. Horticulture tumewapiga na gap kubwa sana
Weka ushahidi wenye kuaminika kuhusu Cabbage. Kitu pekee ambacho mnaweza kutuzidi ni Nanasi kwasababu ya mashamba ya Del-Monte, Chai na Maua pia mnatuzidi kwasababu wakulima wengi ni wazungu, lakini katika mazao ambayo wanalima wakenya weusi, hakuna zao hata Moja mnatuzidi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cabbage kenya inaongoza Africa kwa production go and check. Same with avocado na chai. Vitu kidogo sana mnatushinda hamna anayepinga. Horticulture tumewapiga na gap kubwa sana
The country also imports 5.17 million kilos of rice annually, most of which finds itself in Migori markets.

The country further imports 58,500kg of groundnuts, 99,000kg of green grams, 49,000ks of pigeon peas, 49,700kg of millet, and 1,600kg of bambara nuts. Others are 2,200kg of sorghum, 2,110kg of beans, 525kg of sesame, 100kg of cowpeas and 70kg of cardamom.

According to Migori Agriculture Executive Valentine Ogongo, the county relies heavily on food imports from Tanzania as demand outstrips production.



Bado unataka kushindana na sisi?,[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii kwa shakahola ni university lakini kwa Arusha ni technical college

Your browser is not able to display this video.
 
I'll gladly do so
Here is where you Kunyans are missing the point, how do you choose your priorities?, Why don't you use that land to produce staple food?, one of less important crops is cabbage, why do you concentrate on cabbage agriculture which can't get you out of hunger and starvation and not rice, maize, soya beans, onions, tomatoes and alike which form our daily menu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mnachoweza ninyi lazy bones, kaeni hapo mlishwe


 
Cabbage kenya inaongoza Africa kwa production go and check. Same with avocado na chai. Vitu kidogo sana mnatushinda hamna anayepinga. Horticulture tumewapiga na gap kubwa sana
We jamaa Mpumbavu sana, vitu kidogo vipi? Mbona the rest ndio vingi kuliko hivyo ulivyotaja halafu unasema 'vitu kidogo' tena unaweka na 'sana' 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…