Mungu ndio mmiliki wa kila kitu kwenye dunia na nje ya dunia hilo swali lako halina mantiki kabisa kama science haijui kuhusu roho na ndio munajifanya muna kila kitu munakijua vikiwashinda munarudi kwenye vitabu vya dini niliwah kukuliza unajua kwann israel inapigana sana kupata msikiti unaitwa baytul maqdis ambao uko palestine unajua sababu kubwa ni nn?? π π π π πNani aliyemuumba Mungu?, Jibu kwanza hili swali. Ninajua huna jibu utabaki kutumia vitabu vya dini ambavyo hata walioviandika hawajulikani
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mogadishu ni pazuri kuliko Dar,kule hakuna Slums Wala kipindupindu πππππSema we jamaa ChoiceVariable nimeona ule Uzi wako wa kimaku wa kulinganisha Dar vs Mugadishu, we jamaa ni mzima kweli.?
Lile la wami liko mbele ya Msata...iyo pangani ni eneo tofauti kabisa...Mm huwa nachanganya sana hili daraja, kwani hili sio lile la wami?
Kama haingiliwi na mtu kwann marekani haiheshimu kama nchi huru kwann saud arabia na qatar wanaheshimu kwann sio africa ??? Hio ndio democracy au hio ndio haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa sio nje ya africa π π π πMkuu, Uganda haijaingiliwa na mtu, sheria za Uganda zinasema ushoga hapana, na Sheria za Marekani zinasema sheria kandamizi hapana.
Kila nchi Iko na sheria yake, Sasa Kama utekelezaji wa katiba ya Marekani unaleta athari kwa nchi nyingine nje ya Marekani, hilo sio lengo la Marekani, hiyo ni shida ya hiyo nchi kuwa tegemezi, mbona North Korea, Iran, Russia zimewekewa vikwazo lakini hawalalamiki?
Mkuu, nchi yoyote Iko na uhuru na maamuzi yake, wachague kati ya vikwazo au kuachana na hiyo sheria, uamuzi ni wenu, lakini hakuna nchi itakayoachwa bila kupata vikwazo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
ukiona mtu anafurahia jambo basi jua nayeye ni miongoni mwao π π πKwaiyo mkuu unafurahia kuingiliwa kinyume na maumbile?
ππππππ―π―π―
mombasa na kisumu hvo nina uhakika π πTunataka kujua KQ inahudumia vituo vingapi vya ndani?
Hapana hili linapita pangani kupitia saadani kuja bagamoyoMm huwa nachanganya sana hili daraja, kwani hili sio lile la wami?
Source BBC π π π BBC hio hio ilioficha maandamano ya ufaransa watu walipigwa kama wanyama huko nilikua nawauliza mbona hatuoni habari za ufaransa
No wonder watu wanakuzingua wewe umejaa mapuuzaMogadishu ni pazuri kuliko Dar,kule hakuna Slums Wala kipindupindu πππππ
Kwani ni uongo?Sema we jamaa ChoiceVariable nimeona ule Uzi wako wa kimaku wa kulinganisha Dar vs Mugadishu, we jamaa ni mzima kweli.?
Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamiwa kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts. Kama nchi inategemea misaada Kila mwaka vipi unahisi vinaweza kufikia maamuzi sahihi?, havina uwezo hata kujilisha lakini bado unahisi vipo sahihi katika kukandamiza haki za raia wake.Kama haingiliwi na mtu kwann marekani haiheshimu kama nchi huru kwann saud arabia na qatar wanaheshimu kwann sio africa ??? Hio ndio democracy au hio ndio haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa sio nje ya africa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wao wanajua kua russia hata ukimuekea vikwazo haviwez fanya kazi kwasaabu ni mkubwa mwenzie kwann waonee nchi za africa hilo ndio swali langu na je kwann hawaheshimu sheria za nchi hizi?? Kwann kila jambo linapofanyika africa ndio linakuja swala la haki za binaadamu kwann haki za binaadamu haziko kwao ??
Kama vinahitaji kusaidiwa basi visaidie sio kupanga watu wageuzane kua wanawake hapana hio sio democracyWacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamia kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts.
Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganya na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.
Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya bhn, two destinations [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mombasa na kisumu hvo nina uhakika [emoji28][emoji28]
Nn kilizuia ujenzi wake mana render imetoka kitambo sana.Hapana hili linapita pangani kupitia saadani kuja bagamoyo