Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watakuletea efficiency report ya (WB) ambayo inasema port of Mogadishu imeishinda durban but kwa ground vitu ni different.
 
Kwahyo mkuu mtoto wako akiamua kuwa shoga we kwako fresh tu..?
Hapo mkuu ndio unapoteza "concept" nzima ya huu mjadala wa ushoga, yeye au sisi wote inawezekana hatukubaliani na ushoga, lakini wapo watu ambao wanakubaliana na ushoga, Sasa kwanini wakatazwe wakati wao wenyewe wamependa?. Hivi akija mtu akikulazimisha uachane na Imani ya dini yako kwasababu yeye hana Imani na Imani yako utajisikiaje?, Kwanini Kila mtu asiachwe na Imani yake?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama sio wajibu kuleta watoto kwann uliletwa wewe ?? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kwann hufkirii wengine kua wanahaja ya kuletwa duniani

Ikiwa wewe umeletwa kwa njia hio unataka wengine waletwe kwa njia gani ya ushoga au kusagana??
Si kila mtu anataka watoto. Kulea watoto kunahitaji emotional maturity, physical capabilities and money! Si kila mtu anayehitaji watoto anatimiza hizi criteria. Watoto wanaweza kuzaliwa โ€œby accidentโ€ kama couples hawatumii family planning Au protection. Kuna watoto wamejaa mtaani kwasababu wazazi wao hawawezi kuwatunza ipasavyo. Je, huu ndio wajibu unaozungumzia? Nimesema tangu mwanzo kuwa ASSUMPTIONS ulizonazo kuhusu binadamu ni false na hazina mashiko!

Conception sio lazima ihusishe penetration. Watu waliosoma wote wanajua. Jana niliongea kuhusu IVF ambayo ni teknolojia inafanyika hata Tanzania kusaidia watu wasioweza kupata watoto Kwa njia zilizozoeleka AKA sex between a man and a woman kupata watoto.
 
Unajua tunavyoutetea hapa kuna siku ushoga utakua normal kwenye jamii zetu na watoto wetu pia kwakua itakua jambo lakawaida wataingia pia, utapata wapi nguvu ya kuwazuia?
 
Unajua tunavyoutetea hapa kuna siku ushoga utakua normal kwenye jamii zetu na watoto wetu pia kwakua itakua jambo lakawaida wataingia pia, utapata wapi nguvu ya kuwazuia?
Unafikiri ushoga ni โ€œInfectiousโ€ kama magonjwa? Wewe unaweza kuambukizwa ushoga? Au unaweza kuamka asubuhi na kuamua kuwa shoga? Ni lini mtaelewa kuwa ushoga ni kawaida Kwa baadhi ya binadamu? Kama ushoga ungekuwa unaambukizwa basi dunia nzima ingekuwa ni mashoga kwasababu mashoga wapo kwenye kila Kona ya hii dunia. Lakini uwepo wao hauziii watu wasio mashoga kuishi watakavyo au kuwabadilisha ili nao wawe mashoga.
 
Huwez panga wastan wakufanya mapenzi kwa wiki bro acheni ujuaji wa kila kitu unampangiaje mtu wastan wakufanya mapenzi haha aisee๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Kama 98% ni kupata pleasure hii birth rate kwann ni kubwa kuliko dearh rate ?? Wanazaa ili iweje na ww ulizaaliwa ili iweje au ulikuja by nature ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mm niko nyuma au ww ndio unalazmisha kijani kua blue ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ yani nastaajabu kuona binadaamu kama ww mwenye mawazo kama yako mzee alooo dunia imeisha hii
 
Tena Wewe ichoboy01 najua unapenda ANAL sex. Kuna siku mtu humu alipost picha ya mwanamke mzuri ukacomment kusema kuwa unaona โ€œmashimo sabaโ€ ukimtazama Huyo mwanamke. Unaitaka kinyaa Kwa ku-objectify wanawake na sio Mara ya kwanza nimeona hii lakini pia Wewe ni HYPOCRITE! Uko hapa unajifanya kusema kuwa anal sex ni mbaya knowing that you are sexually attracted to the Anus. Wewe ni pimbi! Ngoja niitafute hiyo post.
 
Kama jamii zetu zitakua na wazazi wenye mitazamo kama yenu, yes ushoga utakua ni infectious tena pandemic
 
Unajua tunavyoutetea hapa kuna siku ushoga utakua normal kwenye jamii zetu na watoto wetu pia kwakua itakua jambo lakawaida wataingia pia, utapata wapi nguvu ya kuwazuia?
Sawasawa kabisa, jamii inajitengeneza yenyewe, jamii sio "static", Huwa inajibadilisha kulingana na wakati. Utakumbuka miaka ya 1990s wakati "Bongo flavour" inaanza?, watu walipinga Sana kwamba ni uhuni na waasilam wakasema ni ushetani ndani ya dini, Leo Kila mtu anaikubali na hao waislam ndio wanaoongoza katika "music industry" hapa Tanzania, hivyo hivyo katika mashindano ya "Miss Tanzania".

Kama itafika wakati ushoga utakubalika Kama vilivyokubalika mziki wa bongo flavour na mashindano ya urembo, tatizo liko wapi, hiyo itakua ni enzi zao sisi tutakua tumepitwa na wakati. Hata hivi Sasa Kuna wazee wengi Sana waluopitwa na wakati hawataki kisikiliza mziki wa kizazi kipya na kuangalia mashindano ya urembo, kwa Imani Kama hiyo uliyokua nayo wewe kuhusu ushoga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi ya binaadamu gani au ndio mila za kishetani zinalazmishwa africa manake naona ushoga unalazmishwa zaidi africa kuliko nchi zingine na sijui lengo ni nn au wanataka kupunguza binaadamu na nguvu kazi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ww usilazmishe ushoga uonekane wa kawaid wakat ni jambo la kishetani na blue haiwezi kua kijani africa hakuna mila za kishoga ni mila zinazoletwa kwa malengo maalumu africa
 
Kama jamii zetu zitakua na wazazi wenye mitazamo kama yenu, yes ushoga utakua ni infectious tena pandemic
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… na amini ukiona mtu anatetea ushoga mark my words lazima awe na athari nazo chunguza vzr
 
Kama jamii zetu zitakua na wazazi wenye mitazamo kama yenu, yes ushoga utakua ni infectious tena pandemic
Hii ni idiocy kwasababu Hakuna nchi yoyote duniani inayotoa haki za usawa Kwa mashoga iliyopitia hii hali. Go back to the drawing board and come up with something better to say.
 
Enhh nimekua napenda anal sex tena ??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Vp kwani ulishawah kunionjesha au?? Kama ushawah kua mmoja wao sema tu usiogope manake huogopi kutetea ushoga kama ushawah nipa kipumulio ongea tu ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜…
 
Ushoga haulazimishwi Afrika. Kuna nchi progressive kwenye bara la Afrika ambazo zinalinda haki za mashoga kwasababu ni maslahi ya wananchi wao, si kwa kusikiliza sauti za nje!
 
Sasa Kama siwezi kumpangia mtu kufanya sex kwa wiki, wewe nani aliyekupa madaraka ya kuwapangia watu jinsi na namna ya kufanya sex?, nani aliyeweka hiyo amri kwamba sex lazima iwe kati ya "penis vs Vagina?".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ndomana nikamuulza kaka mkubwa hapo kama ni hvyo basi sawa hata watoto wetu wakihitaji haki zao kuwa mashoga tuwapongeze.. tusidhani jambo hili litaishia kwa hao wengine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ